Wale mashangazi wa JF yako wapi siku hizi? Au wameolewa ukubwani?

jf legendary royal tour

Wadau fanyieni kazi hili Mtambuzi Madame B
 
Heshima kwako mkuu Preta.
 

Aunt P ☺️ naona hadi umesahau mwaka...

Ilikuwa 2013
 
Kawaida yetu mashangazi, mwali anatoa fungu lake tena akitaka anazibadili ziwe za huko mbele.

Mashangazi kazi yetu ni kuzimwaga hela tu,

Mashangazi huwa hatuna hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…