Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Na TiiiCiiRaei pia wanakula haiwezekani washindwe kuwakamata watu wanaotuma utapeli hadi kwenye namba za simu zao...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kaukweli kadogo na kauongo kingi sana hapa. Watuniaji wa Simu Tz ni Milioni 15 na transactions zinazofanyika au pesa zilizopo kwenye mzunguko wa electronic Money ni zaidi ya 1B per day nilisikiaga report hii kipindi fulani(Japo naruhusu kukosolewa tokana na hizi takwimu). Je wanawezaje kutrace hizo voice na transaction zote zinazofanyika per day?Kuna kitu kinaitwa programming ndugu, zinasetiwa komandi voice ukitamka neno "tuma hela" inadetect!
Ni kama wanavyofuatilia mpango wa maandamano kuna maneno wanaset komand
Elewa kuna setting! Mfano baadhi ya maneno ambayo nauhakika yamestiwa kuwa outomated recognized ni kama neno ambushi, rais, ikulu, mama n.kKuna kaukweli kadogo na kauongo kingi sana hapa. Watuniaji wa Simu Tz ni Milioni 15 na transactions zinazofanyika au pesa zilizopo kwenye mzunguko wa electronic Money ni zaidi ya 1B per day nilisikiaga report hii kipindi fulani(Japo naruhusu kukosolewa tokana na hizi takwimu). Je wanawezaje kutrace hizo voice na transaction zote zinazofanyika per day?
Naunga mkono hoja, Mimi pia nimefanya kazi call centre na hakuna access ya kusikiliza simu za mteja hata kidogo.Nimefanya kazi call center Amin nakuambia wenye access ya kusikiliza simu zenu ni wachache kinyama alaf ni kitu nyeti kinoma
Kiufupi ile mimba inatuma randomly ikitokea zari lake basi unapakatwa
Hahah wanaota au wanajuajeNaunga mkono hoja, Mimi pia nimefanya kazi call centre na hakuna access ya kusikiliza simu za mteja hata kidogo.
Simu pekee unaweza kusikiliza ni zile za Call centre ambazo mteja atapigia call centre au kitengo cha IT watampigia mteja ili kumsaidia.
Wale tuma kwenye namba hii wanatuma text randomly au ni kitengo kingine cha wadukuzi nje ya mfumo.
Wewe ukitaka kujua wale ni nje ya mfumo angalia hata wale wanaopiga simu na kujitambulisha kama watoa huduma kwa mteja. Katika hali ya kawaida na ya weledi haiwezekani utumie namba ya mtandao Y kupiga simu as huduma kwa mteja kwenda mtandao X.
Kwa mtu mwenye weledi kuhusu call cenre ni kitu ambacho hawezi kufanya, huduma kwa mteja lazima wapige namba within au watumie code kama 500 au 100. Wale jamaa hawana uelewa wowote kuhusu call centre na ukiwa mjinga unapigwa kutokana na upumbavu wako mwenyewe.
Hili linaweza kuwa kweli kiaina. Mimi nilisajili line ya mtandao flani kwaajili ya urahisi wa transactions. Ikapita wiki nzima. Mwishoni mwa wiki, siku ya Jumapili nikatumiwa kiasi fulani. Mi nikasema kwa usalama acha tu niihamishe benki.
Hamadi Jumatatu hii hapa. Napigiwa simu na namba ya mtandao mwingine akidai yeye ni mtu kutoka mtandao niliokua nikitumia. Tena akawa ananiambia nimepata kushinda kiasi fulani kisa ni mtumiaji mzuri wa mtandao huo.
Nikamchotaaa, nikamwambia fanya kazi we boya usije kuwa mchawi uzeen. Akakata simu, ajabu hakunitukana. Sasa nisingeihamisha ile hela jana yake sijui kingetokea nini. Kutapeliwa hakuna mjanja, nina wasiwasi kuna madawa wanayameza kabla ya kupiga simu kwa their victims.
God is good all the time....
Acha uongo. Kwahiyo tukipiga simu na kuongea na mama zetu wanatusikiliza kwa kuwa tumetaja mama. Chai hii imrpoa mkuu na haina sukari.Elewa kuna setting! Mfano baadhi ya maneno ambayo nauhakika yamestiwa kuwa outomated recognized ni kama neno ambushi, rais, ikulu, mama n.k
Kwahiyo kwa style hiyo wahuni wanaweza weka yao, Hela, nitumie, nakutumia n.k
Ili pale unapoyatamka namba zenu za simu zinatoa alert then ndipo wanazichukua matapeli.
Siyo kwamba wanasikiliza kienyeji
KachemsheAcha uongo. Kwahiyo tukipiga simu na kuongea na mama zetu wanatusikiliza kwa kuwa tumetaja mama. Chai hii imrpoa mkuu na haina sukari.
Ile pesa tuma kwenye namba hii huwa hawachukui kwenye simu , unaituma mwenyewe, yaani unakwenda kuvunja kibubu au unaitoa benki unawatumia nayakutolea mwenyewe!Mimi siweki pesa nyingi kwenye simu.
Naweka ya vocha na Bando tu.
Simu Ina watu wengi wanao weza kui ingilia na kuitapeli.
sio kweliWanakula na askari na baadhi ya wakubwa wa TCRA pia
Hawana mlalamikaji wa kutoa udhahidi hivyo wanaachaga kwasababu watu hawapeleki malalamiko na ushahid ili wachukue hatuaNa TiiiCiiRaei pia wanakula haiwezekani washindwe kuwakamata watu wanaotuma utapeli hadi kwenye namba za simu zao...
Fikiri zaidi mkuu upate jibu nakuamini sana...mwizi akamatwe mpaka wawepo walalamikaji?Hawana mlalamikaji wa kutoa udhahidi hivyo wanaachaga kwasababu watu hawapeleki malalamiko na ushahid ili wachukue hatua