Wale Mliioa/Kuolewa na Watumishi ili Msaidiane Maisha mambo yakoje huko Ndoani?

Ndoa ukweli ni utapeli ndio maana Mimi niliamua kuoa mama wa nyumbani Hana Cha kunifanya

Nyumba kaikuta na kila kitu ndani

Akicheza anabeba begi kwao!!

Niache kula bia halafu nianze sijui baby huo ujinga Sina full ukakisi tu nyumbani nakaa masaa6 Kati ya 24!!!

Sinaga huruma kwa mwanamke Mimi!!!
 
Ukatili sana huu
 
Unazingua mzee kwan ni vita huyo ni mkeo.
 
Mambo ni magumu kiasi chake maana kipato cha mwanamke ni chake, na kipato cha mwanaume ni cha wote... Lakini pia kuna mazingira ya kikazi ya mwanamke yanaleta hali ya sintofahamu ktk suala la kuaminiana kihisia... Huu utaratibu wa kusema MSAIDIANE nadhani hakuna mashiko sana na hii inapelekea mwanaume kujikuta unatengeneza bomu linalokuja kukulipukia mwenyewe baadae. NAJUTA MIMI

Hongereni mliooa mama wa nyumbani na heshima mnaipata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…