Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Alipoteza mwelekeo......hiyo aina ya Kufikiri haimfilishi popote mwanaumeKuna rafiki yangu, yuko kwenye hatua za kuachana na mke wake, mtumishi wa umma.
Alioa kwa lengo la kusaidiana maisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alipoteza mwelekeo......hiyo aina ya Kufikiri haimfilishi popote mwanaumeKuna rafiki yangu, yuko kwenye hatua za kuachana na mke wake, mtumishi wa umma.
Alioa kwa lengo la kusaidiana maisha
Ujue unatafuta ugomvi ili uanze kumsingizia Mke wako kwamba hana Heshima, anakudharau, ni mjeuri kumbe vita unaitafuta mwenyewe.Mwanaume unakaa kabisa unaipigia hesabu hela ya mwanamke?
Yaani ukikutana na Fatma Karume kwa Ground utashangaa sana.50 Kwa 50 inazungumzwa midomoni na kwenye majukwaa lakini kwenye practical haiko hivyo
Swali lako linalenga kutoa huduma kama mke ndani ya ndoa au kusaidia kiuchumi?Kuna rafiki yangu, yuko kwenye hatua za kuachana na mke wake, mtumishi wa umma.
Alioa kwa lengo la kusaidiana maisha
I pity himKuna rafiki yangu, yuko kwenye hatua za kuachana na mke wake, mtumishi wa umma.
Alioa kwa lengo la kusaidiana maisha
Mkuu kumbe unaogopa kutoboka? 😀😀😀Mimi hata iweje siwezi kuoa jobless, acha niuawe na mwenzangu ili hata akileta mbwembwe najua kabisa sijatoboka kiivyo. Najua kuna vitu atakuwa amenipunguzia vidogovidogo mfn hela ya ped, kusuka nk
Ngoja watumishi waje...Kuna wanaume waliioa wanawake wanaofanya kazi/walioajiriwa kwa lengo la kurahisisha maisha.
Mambo yakopoje huko kwenye ndoa? leteni feedback.
Wewe ukishatoa Supply zote za nyumbani na watoto basi hudaiwi kitu umeshatimiza wajibu wako wa kuletwa hapa Duniani.Ndoa ukweli ni utapeli ndio maana Mimi niliamua kuoa mama wa nyumbani Hana Cha kunifanya
Nyumba kaikuta na kila kitu ndani
Akicheza anabeba begi kwao!!
Niache kula bia halafu nianze sijui baby huo ujinga Sina full ukakisi tu nyumbani nakaa masaa6 Kati ya 24!!!
Sinaga huruma kwa mwanamke Mimi!!!
NAKAZIAMwanaume unakaa kabisa unaipigia hesabu hela ya mwanamke?
Una kichaa wewe🤣unapanga hela na nani,??*Huyo kwanza mimi huwa napenda mwanamke wangu aniiombe Yan awe mtumwa wangu nampeleka navotaka NB. Sijaoa naish sogea tukaeShida nini mkuu,mwisho wa mwezi wote si mnaweka hela mezani mnazipangia matumizi?
Nyumbani anarudi amechoka( which is true), watoto wanalelewa na Houde girl kama mayatima na bado hizo pesa anazotafita hazina faid kwa familia.Mambo ni magumu kiasi chake maana kipato cha mwanamke ni chake, na kipato cha mwanaume ni cha wote... Lakini pia kuna mazingira ya kikazi ya mwanamke yanaleta hali ya sintofahamu ktk suala la kuaminiana kihisia... Huu utaratibu wa kusema MSAIDIANE nadhani hakuna mashiko sana na hii inapelekea mwanaume kujikuta unatengeneza bomu linalokuja kukulipukia mwenyewe baadae. NAJUTA MIMI
Hongereni mliooa mama wa nyumbani na heshima mnaipata
Hii ni kweli.Wanawake wengi (japo si wote) asilimia kubwa ni selfish linapokuja suala la kutumia kipato chake kwa ajili ya familia.. mda mwingine mwanaume usawa unakaba huna hata shilingi lakini mkeo hawezi kukusaidia hata kama pesa anayo... wengi tunapitia changamoto hizi lakini tunavumilia.
HahahaaKama mwanamke anaingiza kipato na hana msaada wowote hapo hauna mke umeoa jambazi
Hatukatai kufanya kazi na kuingiza kipatoHatukatai mume ndiye mwenye jukumu la kutunza familia ila mwanamke mwenye kipato lazima awe supportive ndio maana ya msaidizi
Ongeza na kiburi (hii ni kawaida kwa mwanamke akishika pesa)Nyumbani anarudi amechoka( which is true), watoto wanalelewa na House girl kama mayatima na bado hizo pesa anazotafuta hazina faida kwa familia.
Hii ni kweli.
Tena unakuta anakuzidi na kipato na bado hawezi kununua Mafuta ya kupikia na anakukazia kabi
Na ndo maana kama vijana au wanaume tusiendekeze nyege in our 20s and early 30s katika kipindi hiki tujitafute na tuwekeze vya kutosha ili tuwe na uhakika wa kuwa na kipato kizuri kuanzisha familia. Hii itatujengea kujiamini na kutoitegemea pesa ya mwanamke. Kumbukeni kuoa mabikra wazee mkishajipata 🤣.Hii ni kweli.
Tena unakuta anakuzidi na kipato na bado hawezi kununua Mafuta ya kupikia na anakukazia kabisa.
Hii pointi sanaWanawake wengi (japo si wote) asilimia kubni selfish linapokuja suala la kutumia kipato chake kwa ajili ya familia.. mda mwingine mwanaume usawa unakaba huna hata shilingi lakini mkeo hawezi kukusaidia hata kama pesa anayo... wengi tunapitia changamoto hizi lakini tunavumilia.
Na ndo maana kama vijana au wanaume tusiendekeze nyege in our 20s and early 30s katika kipindi hiki tujitafute na tuwekeze vya kutosha ili tuwe na uhakika wa kuwa na kipato kizuri kuanzisha familia. Hii itatujengea kujiamini na kutoitegemea pesa ya mwanamke. Kumbukeni kuoa mabikra wazee mkishajipata 🤣.