Wale Mliioa/Kuolewa na Watumishi ili Msaidiane Maisha mambo yakoje huko Ndoani?

Wale Mliioa/Kuolewa na Watumishi ili Msaidiane Maisha mambo yakoje huko Ndoani?

Mambo ni magumu kiasi chake maana kipato cha mwanamke ni chake, na kipato cha mwanaume ni cha wote... Lakini pia kuna mazingira ya kikazi ya mwanamke yanaleta hali ya sintofahamu ktk suala la kuaminiana kihisia... Huu utaratibu wa kusema MSAIDIANE nadhani hakuna mashiko sana na hii inapelekea mwanaume kujikuta unatengeneza bomu linalokuja kukulipukia mwenyewe baadae. NAJUTA MIMI

Hongereni mliooa mama wa nyumbani na heshima mnaipata
Kaka, unawasi wasi una toumbe war?
 
Mambo ni magumu kiasi chake maana kipato cha mwanamke ni chake, na kipato cha mwanaume ni cha wote... Lakini pia kuna gani ya kikazi ya mwanamke yanaleta hali ya sintofahamu ktk suala la kuaminiana kihisia... Huu utaratibu wa kusema MSAIDIANE nadhani hakuna mashiko sana na hii inapelekea mwanaume kujikuta unatengeneza bomu linalokuja kukulipukia mwenyewe baadae. NAJUTA MIMI yenu

Hongereni mliooa mama wa nyumbani na heshima mnaipata
Kikubwa umeoa mwanamke wa namna gani, kama mnaelewana vizuri na mnashirikishana utafurahia maisha, mishahara yenu mnaijumuisha na kuipangia matumizi, ila usisahau kuwa wanawake wanamahitaji makubwa kuliko sisi hehe lazima awe na ziada
 
Ndoa ukweli ni utapeli ndio maana Mimi niliamua kuoa mama wa nyumbani Hana Cha kunifanya

Nyumba kaikuta na kila kitu ndani

Akicheza anabeba begi kwao!!

Niache kula bia halafu nianze sijui baby huo ujinga Sina full ukakisi tu nyumbani nakaa masaa6 Kati ya 24!!!

Sinaga huruma kwa mwanamke Mimi!!!
Full ukakisi tu. Wewe n mimi kabisa
 
Wanawake wengi (japo si wote) asilimia kubwa ni selfish linapokuja suala la kutumia kipato chake kwa ajili ya familia.. mda mwingine mwanaume usawa unakaba huna hata shilingi lakini mkeo hawezi kukusaidia hata kama pesa anayo... wengi tunapitia changamoto hizi lakini tunavumilia.
Umeongea kwa Hisia sana mkuu Natafuta Ajira Kuna spana hapa zakuja kukusaidia kuelimisha vijana
 
Kuna wanaume waliioa wanawake wanaofanya kazi/walioajiriwa kwa lengo la kurahisisha maisha.

Mambo yakopoje huko kwenye ndoa? leteni feedback.
Oa huyo binti acha kuangalia kazi yake maana hela zao ni zao peke yao, yani mwanaume unatakiwa ujue kabisa hela ya mwanamke ni ya kwake mwenyewe..

Mm ndo maana hata spana za maisha zikinipiga kivipi siwezi ruhusu mke wangu akatoa hela au ajue sina hela ila nachofayaga natoa hata kidogo pale nakofikia yeye atajua aongezee au afanyaje.. pia akiomba hela hatakama najua sina sisemagi sina nakubali ila na mwambia nafanya mpango nitakupa jibu na jibu lenyewe either lije pungufu ajazie au lije limejaa au nisitimize kabisa.

Nb: hela ya mwanamke intumika kwa akili sana ukionyesha unaipigia hesabu ndo unaikosa kabisa au inaleta vurugu.. ukitaka kutumia hela ya mwanamke tumia propaganda atatoa tuu tena kwa moyo mweupe ila ukijifanya mjuaji ndugu yangu utaumia
 
Ndoa ukweli ni utapeli ndio maana Mimi niliamua kuoa mama wa nyumbani Hana Cha kunifanya

Nyumba kaikuta na kila kitu ndani

Akicheza anabeba begi kwao!!

Niache kula bia halafu nianze sijui baby huo ujinga Sina full ukakisi tu nyumbani nakaa masaa6 Kati ya 24!!!

Sinaga huruma kwa mwanamke Mimi!!!
Una mabinti kama ndio kuna kitu kinaitwa Karma...))
 
Maumivu ni yale yale uoe Mtumishi na Usioe Mtumishi hakuna kinacho badilika.
Nafuu ipo kwa mama wa nyumbani, at least atakuwa loyal kwa mume wake, mke mtumishi anawajibika kwa mabwana kadhaa, bosi ofisini ni mume tosha kabisa mwenye mamlaka kuliko mume wa nyumbani, na tena anaogopwa kuliko mume wa nyumbani
 
Back
Top Bottom