Wale Mliioa/Kuolewa na Watumishi ili Msaidiane Maisha mambo yakoje huko Ndoani?

Umri wangu wa kuishi uliobaki ni mdogo Sana Sina haja ya kupewa pesa maana natimiza majukumu yangu Kama baba inatosha Sina haja ya kupewa pesa watanikumbuka kwa niliyofanya kwa ajili yao wasipokumbuka hawalazimishwi maana pesa yangu ya kula inanitosha na bado natafuta

Kumsaidia mtu aliyekusaidia uwa ni kamali sio sheria Ila msimamo wangu upo hivyo siwezi kuoa mwanamke anayekimbizana na pkazi
Unawekq sana pesa mbele mkuu. Kupendwa sio lazima upewe pesa. Unaweza ukawa na pesa zako na watoto wakakuporezea.
 
Kuna wanaume waliioa wanawake wanaofanya kazi/walioajiriwa kwa lengo la kurahisisha maisha.

Mambo yakopoje huko kwenye ndoa? leteni feedback.
Jambo la mhimu na la maana mwanamke akubali moyoni mwake kuwa wewe ni mume wake halikadhalika wewe baba pia ukubali moyoni mwako huyo ndo mkeo. Mambo ya kazi na vipato yatajifix yenyewe kulingana na majukumu ya maisha ya ndoa
 
Kupitia huu uzi na nyuzi nyingine za wenye ndoa kuendelea kulalamika.

Asitokee bwege mmoja akatoa ushauri kwa vijana kuingia kwenye huu ujinga wa ndoa. Supply ni kubwa kwenye market. Kijana anayeoa ni fala.

Solution ya kufua nunua dry cleaner,kuna dish washer mpaka za 300k kama mvivu kuosha viombo😄😄😄😄, hapa duniani hatujaja kuteseka na dunia ni njia tu yanini kuteseka.Usisahau kununua na katredmill kakupasha pasha kuweka mwili fiti. Uzee tukibahatika kufika ni mwendo wa kula bata tu kama COMRADE babu wa tiktok🤗

##kataa ndoa tunaendelea kusistiza afya ya akili na mwili ni muhimu kuliko unavyodhani!!!! kataa ndoa itaendelea kuongoza3-0🤗
Umesahau siku hizi kuna compressor za kuvuta vumbi, Aya heaters, rice cookers, oven, kuna Ile nyingine inachoma nyama sijui Inaitwaje, viberiti vipo vya risasi na gas za kwenda mtungi 75 elfu

Ila N. B MSILE malaya mnabeba nuksi
 
Kwa hili wanaume wengi hawawezi kusema ukweli zaid ya kujifanya wake zao hawana mchango kuona aibu mbele za watu. lakin katika ndoa wanawake ni watu wanaopenda maendeleo kuliko wanaume na rahisi mno kutoa hela hata kukopa kwa ajili ya jambo fulani la maendeleo na wachangiaji wakubwa mno na hasa kwa wanaume husie kuwa na mambo mengi.
Mzee umetekwa nini? Upo wapi tuje kukuokoa🤣🤣🤣🤣
 
Mambo ni magumu kiasi chake maana kipato cha mwanamke ni chake, na kipato cha mwanaume ni cha wote... Lakini pia kuna mazingira ya kikazi ya mwanamke yanaleta hali ya sintofahamu ktk suala la kuaminiana kihisia... Huu utaratibu wa kusema MSAIDIANE nadhani hakuna mashiko sana na hii inapelekea mwanaume kujikuta unatengeneza bomu linalokuja kukulipukia mwenyewe baadae. NAJUTA MIMI

Hongereni mliooa mama wa nyumbani na heshima mnaipata
Mnateseka sana mwanawane.....ila hawa wa nyumbani nao bodablda wanapita nao.
 
Ndoa ukweli ni utapeli ndio maana Mimi niliamua kuoa mama wa nyumbani Hana Cha kunifanya

Nyumba kaikuta na kila kitu ndani

Akicheza anabeba begi kwao!!

Niache kula bia halafu nianze sijui baby huo ujinga Sina full ukakisi tu nyumbani nakaa masaa6 Kati ya 24!!!

Sinaga huruma kwa mwanamke Mimi!!!
Mimi hajuwi hata kusoma simu namuachia anaagalia TikTok tu
 
Ndoa ukweli ni utapeli ndio maana Mimi niliamua kuoa mama wa nyumbani Hana Cha kunifanya

Nyumba kaikuta na kila kitu ndani

Akicheza anabeba begi kwao!!

Niache kula bia halafu nianze sijui baby huo ujinga Sina full ukakisi tu nyumbani nakaa masaa6 Kati ya 24!!!

Sinaga huruma kwa mwanamke Mimi!!!
Kuna kitu nimejifunza kutoka kwako. Shukran sana Mkuu.
 
kataa ndoa huku mambo bulbul,,,,tunatumia formular ya SOGEA TUKAE, Akizingua anapita kushoto UNAZOGEZA mwingine yanini kuteseka?!

##kataa ndoa,ndoa ni utapeli!!!
Unaonaje hao bint zako unaowapenda wakija kusogezwa na kijana wa hovyo huku wewe baba yao ukiwa unajua hilo, Nafikiri itakuwa hivyo maana mchezo wote huwa ni hapa hapa duniani. tunataka kujua reaction yako
 
Ukioa mtumishi si mbaya maana hata mabinti zetu tunawasomesha pengine wanaweza kuja kupata ajira wakawa chini ya serikali au kampuni binafsi. Itakupasa kukubaliana na yafuatayo.

Pesa yake haikuhusu, ingawa hawezi kumwacha mtoto wake wa kumzaa akikosa mahitaji, hiyo never. Na pengine hapo ndo kuna unafuu kidogo maana anahudumia wanao kwa vitu wanavyovipenda kama nguo, zawadi nzuri na favours nyingine kama visherehe vya siku ya kuzaliwa.

Atarudi amechoka kutoka kazini, hivyo kubali kukosa care kwa mume kama kufuliwa, kupikiwa na mengineyo ukubali kuzopata kwa dada wa kazi,

Huwezi kumwekea mipaka kama mkeo maana kuna maamuzi yatakayoathiriwa na boss wake huko kazini kwake. Yapasa kukubaliana na kitakachopangwa huko kazini kwake mfano safari ya mbali kikazi, kurudi amechelewa kutokana na majukumu ya ziada. Huna sauti utakuwa ni kukubaliana tu.

Watoto wako watatumia maziwa mbadala na muda mwingi watakaa na dada wa kazi kwa sababu ratiba za mkeo haziwezi kumpa nafasi kutosheleza mahitaji ya kihisia na kimwili ya mtoto wenu ambayo ni lazima kwa makuzi ya mtoto.

Mwanamke ndiye huifanya nyumba kuwe nyumbani mfano kelele za watoto na michezo yao, Usafi wa maua yaliyokatwa vyema na kutunzwa vizuri, usafi wa ndani na activities za hapa na pale mfano ubunifu wa mapishi, kukuwakilisha kwenye vikao vidogo vidogo vya kijamii, kukuletea umbea kidogo wa mtaa ambao ni sehemu ya security..

Mengi mengi tu.
Haya huwezi kuyategemea kwa mke mwenye majukumu mengi ya kikazi.

Ukubali pia pamoja na mzigo wote wa kuihudumia familia ambao mkeo anaweza akakuachia lakini hutapata huduma nyingi za mume ikiwemo tendo la ndoa, utakachokiambulia labda ni heshima uchwara ambayo utakuwa ukijipa mwenyewe kuwa unamiliki mke msomi mwenye kazi ambayo kiuhalisiaina mchango mdogo saba kwenye maisha yako.

Haogopi kukupoteza kwa sababu anayo option za wanaume wengi na kipato. Hatahangaika na wewe hasa watoto wake wakikua. Hivyo unapaswa kujiwekewekeza usitumie nguvu zako zote za ujana kumfurahisha ukasahau kujiendeleza kuandaa maisha yako hasa ukiwa mzee maana hata hao watoto watakuwa upande wako kwa asilimia 25 tu 75 kwake.

Kinyume chake ukioa mke asiye na ajira yapo pia unaweza kukutana nayo mfano;

Kama si mcha Mungu kweli atakuroga ili akuweke sawa maana wewe ukikengeuka na wanawake wengine yeye hali kwake ni tete maana anakutegemea kwa mambo yote.

Ila kikubwa utapata heshima na treatment nyingi anazostahili mume maana kazi yake kubwa itakuwa kujifunza kukufurahisha ili asikupoteze

Kila mtu anapaswa kuangalia anahitaji kuishi maisha ya namna gani kabla hajaoa
 
Nadhani mwanaume anatakiwa kuoa mwanamke ambaye kesho na kesho kutwa likitokea lolote kwa mwanaume familia itaendelea ku survive
Kwa nini tumejijengea fikra za mwanaume ndiye ataanza kufa. Hili linatutafuna sana

Itoshe kusema mwanaume mwenzangu ukipata nafasi ya kufaidi maisha na kuwa na amani wewe kama wewe basi usiichezee, kula bila kuangalia nani wala nani, jipongeze, jitoe out. Maana msimamo wa wanawake na watoto wanaamini wewe ndiyo utakuwa wa kwanza kufa na mali zote ulizozihangaikia zinatatafunwa kirahisi na wao
 
Ukioa mtumishi si mbaya maana hata mabinti zetu tunawasomesha pengine wanaweza kuja kupata ajira wakawa chini ya serikali au kampuni binafsi. Itakupasa kukubaliana na yafuatayo.

Pesa yake haikuhusu, ingawa hawezi kumwacha mtoto wake wa kumzaa akikosa mahitaji, hiyo never. Na pengine hapo ndo kuna unafuu kidogo maana anahudumia wanao kwa vitu wanavyovipenda kama nguo, zawadi nzuri na favours nyingine kama visherehe vya siku ya kuzaliwa.

Atarudi amechoka kutoka kazini, hivyo kubali kukosa care kwa mume kama kufuliwa, kupikiwa na mengineyo ukubali kuzopata kwa dada wa kazi,

Huwezi kumwekea mipaka kama mkeo maana kuna maamuzi yatakayoathiriwa na boss wake huko kazini kwake. Yapasa kukubaliana na kitakachopangwa huko kazini kwake mfano safari ya mbali kikazi, kurudi amechelewa kutokana na majukumu ya ziada. Huna sauti utakuwa ni kukubaliana tu.

Watoto wako watatumia maziwa mbadala na muda mwingi watakaa na dada wa kazi kwa sababu ratiba za mkeo haziwezi kumpa nafasi kutosheleza mahitaji ya kihisia na kimwili ya mtoto wenu ambayo ni lazima kwa makuzi ya mtoto.

Mwanamke ndiye huifanya nyumba kuwe nyumbani mfano kelele za watoto na michezo yao, Usafi wa maua yaliyokatwa vyema na kutunzwa vizuri, usafi wa ndani na activities za hapa na pale mfano ubunifu wa mapishi, kukuwakilisha kwenye vikao vidogo vidogo vya kijamii, kukuletea umbea kidogo wa mtaa ambao ni sehemu ya security..

Mengi mengi tu.
Haya huwezi kuyategemea kwa mke mwenye majukumu mengi ya kikazi.

Ukubali pia pamoja na mzigo wote wa kuihudumia familia ambao mkeo anaweza akakuachia lakini hutapata huduma nyingi za mume ikiwemo tendo la ndoa, utakachokiambulia labda ni heshima uchwara ambayo utakuwa ukijipa mwenyewe kuwa unamiliki mke msomi mwenye kazi ambayo kiuhalisiaina mchango mdogo saba kwenye maisha yako.

Haogopi kukupoteza kwa sababu anayo option za wanaume wengi na kipato. Hatahangaika na wewe hasa watoto wake wakikua. Hivyo unapaswa kujiwekewekeza usitumie nguvu zako zote za ujana kumfurahisha ukasahau kujiendeleza kuandaa maisha yako hasa ukiwa mzee maana hata hao watoto watakuwa upande wako kwa asilimia 25 tu 75 kwake.

Kinyume chake ukioa mke asiye na ajira yapo pia unaweza kukutana nayo mfano;

Kama si mcha Mungu kweli atakuroga ili akuweke sawa maana wewe ukikengeuka na wanawake wengine yeye hali kwake ni tete maana anakutegemea kwa mambo yote.

Ila kikubwa utapata heshima na treatment nyingi anazostahili mume maana kazi yake kubwa itakuwa kujifunza kukufurahisha ili asikupoteze

Kila mtu anapaswa kuangalia anahitaji kuishi maisha ya namna gani kabla hajaoa
Mbona kazi sana
 
BORA KULOGWA NA HUYO MAMA WA NYUMBANI KULIKO HUYO MTUMISHI ASEE, MAANA YOTE KWA YOTE UKIOA MWANAMKE MWAJIRIWA UNAPOTEZA SAUTI HARAKA MAANA MUME WAKE WA KWELI NI BOSS WAKE NA AKIMTAKA KILAINI ANAPEWA HATA JUU YA MEZA ANASOGEZA COMPUTER KULE MKE ANALIWA ILI ASIPANGWE KWENDA ZIARA YA MBALI, MUDA MWINGINE UNAPANGWA KUWA ANA OVERTIME NYINGI KUMBE ANALIWA CHOONI STAFF WENZAKE WAKIONDOKA HUKU WEWE ZUZU UMEBAKI SEBLEN UNANG'AA MACHO KWENYE TAARIFA YA HABARI ETI UNASUBIRI KUMFUNGULIA MKEO MLANGO.. SHWAIN KABISA
 
Back
Top Bottom