Wale Mliioa/Kuolewa na Watumishi ili Msaidiane Maisha mambo yakoje huko Ndoani?

Wale Mliioa/Kuolewa na Watumishi ili Msaidiane Maisha mambo yakoje huko Ndoani?

Umejuaje mkuu??? Nimezushiwa haya kikaoni juzi. Yan ni kama umecopy na ku paste hapa mambo yalionikuta juzi kwenye kikao dhidi ya wife mbele ya wachungaji wetu.

Uzuri ni kwamba i always keep the record for whatever i do as part of my financial discipline. Na uzur matumiz mengime nilikua namuandikia cheque na zaid huwa nina bank statement za kila mwezi kwakua namandikiaga cheque kwa account ya office so details are so cleae ndio kilichoniokoa kwenye uongo wake maana niliambiwa sijawah kutoa hata mia kuhudumia familia
Wanawake ni wepesi sana kusahau wema na kukumbuka mabaya
 
Wanawake ni wepesi sana kusahau wema na kukumbuka mabaya
Hapana sio kwamba ni wepes wa kusahau, huwa wanakusudia kukuharibu na kukuchafua makusudi sasa ni vile tu kuna time wakikukuta smart ndio wana fail. Na ndio nikaamin kuwa sio kila kitu unapaswa kumwambia mkeo, mfano mimi wife hakua anajua kuwa i document everything i do, mpaka pesa nikitoka nao out as family i always have a journal kwa ajil ya ku review habit yangu kimatumiz ili kujikosoa, laiti kama angejua hili naamini asingenizulia uzushi huo ili kuniharibia image yangu, plus anaongea kwa hisia unaweza sema kwel anateseka nikawa tuliii namcheck tu, alipomaliza nika pull out my files. Aliaibika sana
 
Hivyohivyo hata mahakamani ukisikiliza kesi za madai ya talaka ukianza kumsikiliza mwanamke kwanza unaweza kusema mume wake ni shetani, ila ukija kumsikiliza na mwanaume akiongea ndo utagundua mwanamke ndo mbaya ila ni bingwa wa kubadilisha maneno na kutia huruma
 
Ni kweli nakubali. Nilikuaga nayakataa haya maneno zaman nikisikia mtu anaeleza, mpaka baada ya sasa kuyashuhufia binafsi
 
Shida nini mkuu,mwisho wa mwezi wote si mnaweka hela mezani mnazipangia matumizi?
Huwezi pangia pato la mke wako matumizi kwa shuruti, labda tu awe na moyo wake safi, malengo ya kuifikisha familia yake mbali na kwa moyo mmoja afu mwanaume awe hana cheating zile za kipumbavu mpaka mkewe anajua, hapo mtapanga vizuri na atakuwa na moyo kabisa wa kusaidiana
 
Wanawake wengi (japo si wote) asilimia kubni selfish linapokuja suala la kutumia kipato chake kwa ajili ya familia.. mda mwingine mwanaume usawa unakaba huna hata shilingi lakini mkeo hawezi kukusaidia hata kama pesa anayo... wengi tunapitia changamoto hizi lakini tunavumilia.

Na ndo maana kama vijana au wanaume tusiendekeze nyege in our 20s and early 30s katika kipindi hiki tujitafute na tuwekeze vya kutosha ili tuwe na uhakika wa kuwa na kipato kizuri kuanzisha familia. Hii itatujengea kujiamini na kutoitegemea pesa ya mwanamke. Kumbukeni kuoa mabikra wazee mkishajipata 🤣.
Bikra muhimu✊️
 
Namshukuru Mungu wa mbinguni sababu baadhi yetu tumebarikiwa kupata wenza sahihi sana, tchaaah'..!🙌
Hongera sana. Usahihi sana unaanza kwenye pesa kwanza. Vinginevyo angekuwa ng'ombe kama ng'ombe wengine
 
Back
Top Bottom