Mkushi w jani
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 1,798
- 1,570
Naamini siyo wanawake wote wako hivyo, japo % kubwa wako hivyoMambo ni magumu kiasi chake maana kipato cha mwanamke ni chake, na kipato cha mwanaume ni cha wote... Lakini pia kuna mazingira ya kikazi ya mwanamke yanaleta hali ya sintofahamu ktk suala la kuaminiana kihisia... Huu utaratibu wa kusema MSAIDIANE nadhani hakuna mashiko sana na hii inapelekea mwanaume kujikuta unatengeneza bomu linalokuja kukulipukia mwenyewe baadae. NAJUTA MIMI
Hongereni mliooa mama wa nyumbani na heshima mnaipata