Wale Mliioa/Kuolewa na Watumishi ili Msaidiane Maisha mambo yakoje huko Ndoani?

Wale Mliioa/Kuolewa na Watumishi ili Msaidiane Maisha mambo yakoje huko Ndoani?

Ndoa ukweli ni utapeli ndio maana Mimi niliamua kuoa mama wa nyumbani Hana Cha kunifanya

Nyumba kaikuta na kila kitu ndani

Akicheza anabeba begi kwao!!

Niache kula bia halafu nianze sijui baby huo ujinga Sina full ukakisi tu nyumbani nakaa masaa6 Kati ya 24!!!

Sinaga huruma kwa mwanamke Mimi!!!
Sasa nyumba umejenga mwenyewe lakini unaiogopa mpaka unakaa masaa sita kati ya 24 mbona unajitesa sana
 
Umenena kweli hii Inanifanya nimkumbuke sana mama yangu marehemu na dada yangu,😯inafikirisha
Nilichoona Kwenye maisha ya wanaume wengi, kwa asilimia kubwa mwanamke ambae atakupa sapoti ambayo itafanya uinuke kiuchumi ni mama mzazi na ndugu wa kike, hao wanawake wengine wanakuja kwa nia ya kuchuna tu.

Ni mara chache kukuta mwanaume ni tajiri sababu amepewa sapoti na mkewe au mchumba Rabboni Natafuta Ajira
 
Back
Top Bottom