Wale Mliioa/Kuolewa na Watumishi ili Msaidiane Maisha mambo yakoje huko Ndoani?

Wale Mliioa/Kuolewa na Watumishi ili Msaidiane Maisha mambo yakoje huko Ndoani?

Ndoa ukweli ni utapeli ndio maana Mimi niliamua kuoa mama wa nyumbani Hana Cha kunifanya

Nyumba kaikuta na kila kitu ndani

Akicheza anabeba begi kwao!!

Niache kula bia halafu nianze sijui baby huo ujinga Sina full ukakisi tu nyumbani nakaa masaa6 Kati ya 24!!!

Sinaga huruma kwa mwanamke Mimi!!!
Nini hasa sababu ya msingi iliyokufanya uoe?
 
Ndoa ukweli ni utapeli ndio maana Mimi niliamua kuoa mama wa nyumbani Hana Cha kunifanya

Nyumba kaikuta na kila kitu ndani

Akicheza anabeba begi kwao!!

Niache kula bia halafu nianze sijui baby huo ujinga Sina full ukakisi tu nyumbani nakaa masaa6 Kati ya 24!!!

Sinaga huruma kwa mwanamke Mimi!!!
Mnawapataga wapi Hao
 
Kuna rafiki yangu, yuko kwenye hatua za kuachana na mke wake, mtumishi wa umma.
Alioa kwa lengo la kusaidiana maisha
Nilichoona Kwenye maisha ya wanaume wengi, kwa asilimia kubwa mwanamke ambae atakupa sapoti ambayo itafanya uinuke kiuchumi ni mama mzazi na ndugu wa kike, hao wanawake wengine wanakuja kwa nia ya kuchuna tu.

Ni mara chache kukuta mwanaume ni tajiri sababu amepewa sapoti na mkewe au mchumba Rabboni Natafuta Ajira
 
Mimi hata iweje siwezi kuoa jobless, acha niuawe na mwenzangu ili hata akileta mbwembwe najua kabisa sijatoboka kiivyo. Najua kuna vitu atakuwa amenipunguzia vidogovidogo mfn hela ya ped, kusuka nk
Hata huyo mwenye kazi usioe kwanza mkuu kama una mawazo haya.

So ukioa leo kesho mkachelewa kwenye fungate akafukuzwa kazi utamuacha kisa kumpa hela ya kusuka na pedi?
 
Ndoa ukweli ni utapeli ndio maana Mimi niliamua kuoa mama wa nyumbani Hana Cha kunifanya

Nyumba kaikuta na kila kitu ndani

Akicheza anabeba begi kwao!!

Niache kula bia halafu nianze sijui baby huo ujinga Sina full ukakisi tu nyumbani nakaa masaa6 Kati ya 24!!!

Sinaga huruma kwa mwanamke Mimi!!!
Namshukuru Mungu wa mbinguni sababu baadhi yetu tumebarikiwa kupata wenza sahihi sana, tchaaah'..!🙌
 
Back
Top Bottom