Wale mliokimbilia kujenga Dodoma poleni sana

Hili swala kwa muda huu mimi naamini hakuwa JPM mwenyewe aliyeamua; bali kuna watu walimchomekea tena kwa hoja ya nguvu. Jambo hili ukiunganisha na issue ya makinikia, ni kama kuna picha very clear inaanza kuonekana. Possibly mbunifu wa mambo haya mawili ni mtu mmoja
 
Upangaji wa nyumba zipi ambao ni hafifu?

Unaongelea Dodoma City Council au unaongelea Dodoma ya Mpwapwa?
Hata Mpwapwa mjini hakuna nyumba za 20 labda mpwapwa vijijini huko kama vile Mang'weta,Tambi,Mbori tena za matope ya kukandika sio hata za tofali za kuchoma
 
Mkuu ondoa moshi
 
Mueleze huyo mjinga
 
Ilikuwa dalili ya kuipeleka serikali chato.
Sasa serikali imevuka bahari; ujenzi uko Kazimkazi!
Hawa viumbe hawajifunzi kutoka kwenye makosa ya waliowatangulia!
Tunaoumia ni sisi wa lipa kodi! Hizo wanazoiba toka kwenye consolidated fund ya Ikulu ni fedha toka kwenye makato /tozo zetu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…