Wale mliokimbilia kujenga Dodoma poleni sana

Wale mliokimbilia kujenga Dodoma poleni sana

Dar inabebwa na location yake Bahari ni kitu ingine Mkuuu

Labda dodoma nao watengeneze bahari yao ila Dar ni unbeatable kwa TZ Dar case yake ni ya kusikilizwa na JAJI wa mahakama kuu not otherwise.
Mbona Tanga na mtwara kuna bahari lakini choka mbaya.
 
Usimtukane mwendazake ,ulitaka afanyeje SASA wakati alikua anaenzi mawazo yamwalimu mkuu!
 
Sasa kwanini dodoma isiwe makao makuu, hangaya anapenda tuu kukaa dar ila maamuzi ya kuhamia dodoma yalikuwa sahihi
Yalikua sahihi Sana ,nakuunga mkono,boss kubwa,haiwezekani miaka yote vichwa vyawatanzania tuwaze DAR miaka nenda Rudi,mbona nchi zingine kuna big cities zaidi yamoja,
 
Huwez kulinganisha na mikoa mingine kama dar
Mkuu mayunga utumwa wafikra ndo sababu ya kuwa na jiji zuri moja tabu! Lakini isingekuwa hivyo mbona majiji mengi yangekuwa kama Dar na tungeongeza njia za kiuchumi.
 
Ukitumia Dar au Mwanza kama kipimio .' Cha Dodoma ,utakuwa na akili ndogo sana!
Hilo ndio Kosa walifanya au wanafanya wengi,inawezekana hata Viongozi wakubwa!
Dodoma haitakuwa Dar,hata siku Moja!
Ila kuna mabadiliko makubwa s
ana!
Kama mwendazake angekuwa anashaurika ,wangeamua kujenga kamji kadogo kazuri ,Dodoma ingekuwa ka city murua kama Mbabane ya Uswatini .Hii waliyoamua eti kuipanau kwa Kasi ,kuna maeneo mengine ytabaki bustani za karanga na mqhindi Kwa miaka 15 ,20 ijayo!
 
Kumekucha Na Hii Mvua Ya Leo Zile Nyumba 200 Zilizomezwa huu Na Nkuhungu Ndiyo Shida
mwaka huu wa 2022 hakuna hiyo mafuruko na walishapatengeneza, maji yatapita tu.
Nimeona hata Jangwani Dar magreda yanachangamkia mto Msimbazi
Ila kiufupi mtu usihame Dar halafu ukajenge Dodoma umeliwa, Rudi Dar ukajenge au wale pesa nduguzo ) mke
wakujengee hata Kijichii
Mama kapakimbia
 
Back
Top Bottom