Wale mliokimbilia kujenga Dodoma poleni sana

Wale mliokimbilia kujenga Dodoma poleni sana

Wivu tu wakusumbua, tupo Dodoma miaka kibao maisha yanaenda acha kuishi kwa kukariri
😍😍😍😍 Soon, Dodoma itakuwa nchi yenye uchumi wa kati.
Naamini mama ataipitisha Mapema kabla ya ujenzi wa bandari ya Bwaga moyo.
Mikoa yote itakuwa inapata huduma za kiserikali kutoka MTUMBA - Dodoma.
 
Kasi ya ukuaji wa mji wa Dodoma inadhihirishwa na viashiria lukuki ikiwemo uwepo wa taasisi nyingi za benki kufungua matawi yao Dodoma.

Hadi sasa kuna benki zaidi ya 20 zinatoa huduma Dodoma. Ikiwemo;
1. CRDB
2. NMB
3. NBC
4. TPB
5. DTB
6. DCB
7. LET SHEGO
8. HAKIKA MWANGA
9. EXIM
10. ABC
11. AMANA BANK
12. UBA
13. AZANIA
14. AKIBA
16. FINCA
17. CITY BANK
18. MKOMBOZI
19. EQUITY
20. ABSA
21. TADB
Haya ni baadhi ya mabenki yanayotoa huduma Dodoma, sijataja yote.

Mji uliodumaa au wenye mzunguko mdogo wa fedha hauwezi kuzivutia benki zote hizi kufungua matawi.

Dodoma ni miongoni mwa majiji yanayokua kwa kasi.
 
Mbaya zaidi sisi watafutaji (mapopo) ukifika Dom saa 2000hrs huwezi kupata usafiri wa uhakika kuelekea Arusha au Iringa inakulazimu ulale, kitu ambacho ni dhambi kwa mtafutaji.
Isee wewe popo kweli ,pia mtaji mdogo
 
Isee wewe popo kweli ,pia mtaji mdogo
Yes sisi wazee wa night shift (popo) hatuna mitaji mikubwa kama wewe, naomba nijue utajiri wako ulianza na mamilioni kiasi gani?.
 
Huenda umedanganywa mkuu! Demand ya nyumba za kupanga bado ipo juu sana Dodoma. Kama unampango wa kuwekeza kwenye hiyo sekta usisite, fanya hima
Usiwashtue we we acha waendelee kulala sisi tunakula pesa taratibu na kuendelea kujitanua kibiashara. Kati ya vitu vilivyonitoa kimaisha ni kuhamia Dodoma. Nafikiri ulikuwa mpango wa Mungu kwa ajili yangu
 
Dodoma ni mji ambao Serikali inatumia nguvu nyingi kuujenga, pamoja na changamoto za maji na hali ya hewa, wagogo hawakuwa na akili au msaada wowote wa kuendeleza mji wao. Ni kama Serikali imefyeka msitu kuanza ujenzi wa hili jiji.
miaka 50 ijayo unahisi kuna jiji litakuta dodoma kwa mpangilio na utaratibu na uzuri wa hilo jiji?
 
miaka 50 ijayo unahisi kuna jiji litakuta dodoma kwa mpangilio na utaratibu na uzuri wa hilo jiji?
Dodoma inaweza kuyazidi majiji kama Mwanza, Arusha na Mbeya, ila sitarajii Dodoma kuizidi Dar.
 
Dodoma inaweza kuyazidi majiji kama Mwanza, Arusha na Mbeya, ila sitarajii Dodoma kuizidi Dar.
Dar inabebwa na location yake Bahari ni kitu ingine Mkuuu

Labda dodoma nao watengeneze bahari yao ila Dar ni unbeatable kwa TZ Dar case yake ni ya kusikilizwa na JAJI wa mahakama kuu not otherwise.
 
Dar inabebwa na location yake Bahari ni kitu ingine Mkuuu

Labda dodoma nao watengeneze bahari yao ila Dar ni unbeatable kwa TZ Dar case yake ni ya kusikilizwa na JAJI wa mahakama kuu not otherwise.
Dar itafishwa na Bwagamoyo. Bwagamoyo ikianza kazi Dar inatabki ya wavuvi na abiria kwenda wa Zanzibar tu.
 
Kipindi Serikali au mtu mmoja aliyeamua katangaza Dodoma kama makao makuu kwa maslai yake, watu wa Mikoani wakakurupuka kutoka huko kwenda kuwekeza Dodoma, sasa mambo yamekuwa magumu wanalalamika [emoji3] biashara zimekuwa ngumu na ni za msimu.

Nyumba walizojenga hazina wapangaji yaani mambo ni tafrani apeche alolo
Watu waliokimbilia huko wanalia wanapauka kwa vumbi na jua, Maji yamejaa chumvi hata kuyanywa ni shida
Ndo mkome kukurupuka kama chafya bila kufikiria.

Hizo nyumba zibebeni mzilete huku kigamboni [emoji4]

Unakimbia Dar unaenda kuwekeza Dodoma sehemu ngumu vile una akili kweli bora ungeenda kuwekeza Arusha, Mwanza, Moshi, Mbeya, Dar
Afadhali Dom hakuna Majuto saaaana je nyie mliejenga KYATO????
 
Back
Top Bottom