Yako Atta
JF-Expert Member
- Oct 26, 2016
- 279
- 455
Kaandika kwa hisia zake,Mbona nyumba dom ghali sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaandika kwa hisia zake,Mbona nyumba dom ghali sana
Wapi huko ambako nyumba n Bei rahisi kwa mji huu wa Dodoma?hapo town nenda sehem nyingine watu wamejuta kuwekeza huko
Though it won't help us anything..Ndugu yangu narudia tena,,, Dodoma kuna luxury tatu tu!!
1.Shabiby
2.ABC
3.Kimbinyiko
Hyo baraka yako haiingii hata nusu,,, kama ukihitaji ntakutajia mpaka plate number za hzo gari ili ujue kwamba nna uhakika na nnachokisema though it wont help us anything.
Ukinambia baraka ni luxury kunakoelekea utanambia hata zikina kamwana, champion, shukran, islam, chakito longway, alsaedy, ngasere nazo ni luxury.
Wanapasikia dom kwa mdomoMkuu, uko serious unafananisha Dodoma na Singida?
Nilifikiri ninajadiliana na mtu mwenye akili timamu kweli?Duuuh inaonekana hampajui dodoma. Nikupe mtihani tu mdogo tafuta picha ya nkukhungu walau hata wiki hii. Anzia four ways halafu njoo ulinganishe hiyo nkukhungu hiyo kimara yako kama bunyonkwa au hata kimara mwisho marufuku kuweka flyover weka mitaa yenye nyumba tu
Kwahiyo nawewe unajiona una akili timamu. Nipe sababu za kunifanya niaamini kuwa una akili timamuNilifikiri ninajadiliana na mtu mwenye akili timamu kweli?
Wewe ni mjinga. Niliuliza bei ya nyumba za kupanga maeneo kama Khuhungu, wewe unaniinukia na upuuzi mwingi bila sababu!Kwahiyo nawewe unajiona una akili timamu. Nipe sababu za kunifanya niaamini kuwa una akili timamu
Aliyekufa ndo angefanya iwe hivo,Hayo ya Dar es Salaam yanamilikiwa na nani? Niambie majengo na miundo mbinu ya Dar es Salaam inayomilikiwa na watu binafsi versus ya serikali na mashirika yake (kama NHC/ formerly Msajili wa Majumba etc).
We umekuwa Billionaire lini?Tatizo mmeingia dar juzi ndo mnapiga kelele. Hivyo viwanja unavyonunua kwa square meter kibada wenzio tulinunua kama mashamba tena kwa kubembelezwa miaka ya 2003. Tembeni muelimike. Nyie kaeni na dar yenu mtakuja shtuka wenzenu washakuwa mabilionea
kabisa singida kuna vibe zaidi dodoma mi naona mavumbi na jangwa tu airport imewekwa sehem kama kariakoo ukishuka kwenye ndege unaenda kupanda bodaboda aisee sijui nani ali plan vileMkuu, uko serious unafananisha Dodoma na Singida?
Una minyoo ya ubongo wewe sio burePost iko half baked ni kama umeandika ukiwa kwenye boda boda.
Kwa taarifa yako phase two ya ujenzi wa mji wa serikali ndo umeanza ili kukamilisha majengo ya wizara.
Bado ring road nayo inaendelea bila kusahau Msalato international airport.
Labda wivu tuu unakusumbua
[emoji3][emoji3]kabisa singida kuna vibe zaidi dodoma mi naona mavumbi na jangwa tu airport imewekwa sehem kama kariakoo ukishuka kwenye ndege unaenda kupanda bodaboda aisee sijui nani ali plan vile
Nipo hapa kidachiWapi huko ambako nyumba n Bei rahisi kwa mji huu wa Dodoma?
[emoji3][emoji3]soko lile bhana walipoteza hela tuDuuh nipo Dom hapa siku ya tatu, hili jua ni balaaa yan mchana kama jehanum...halafu mvua imegona decemba hii,nimefuka mpaka soko la nabii ndugai wafanyabiashara wanatia huruma sana