Wale mliokimbilia kujenga Dodoma poleni sana

Wale mliokimbilia kujenga Dodoma poleni sana

Ndugu yangu narudia tena,,, Dodoma kuna luxury tatu tu!!
1.Shabiby
2.ABC
3.Kimbinyiko

Hyo baraka yako haiingii hata nusu,,, kama ukihitaji ntakutajia mpaka plate number za hzo gari ili ujue kwamba nna uhakika na nnachokisema though it wont help us anything.

Ukinambia baraka ni luxury kunakoelekea utanambia hata zikina kamwana, champion, shukran, islam, chakito longway, alsaedy, ngasere nazo ni luxury.
Though it won't help us anything..

Ila dodoma-dar, kureed hunters ndiyo luxury!!
 
Duuuh inaonekana hampajui dodoma. Nikupe mtihani tu mdogo tafuta picha ya nkukhungu walau hata wiki hii. Anzia four ways halafu njoo ulinganishe hiyo nkukhungu hiyo kimara yako kama bunyonkwa au hata kimara mwisho marufuku kuweka flyover weka mitaa yenye nyumba tu
Nilifikiri ninajadiliana na mtu mwenye akili timamu kweli?
 
Kwahiyo nawewe unajiona una akili timamu. Nipe sababu za kunifanya niaamini kuwa una akili timamu
Wewe ni mjinga. Niliuliza bei ya nyumba za kupanga maeneo kama Khuhungu, wewe unaniinukia na upuuzi mwingi bila sababu!
 
Post iko half baked ni kama umeandika ukiwa kwenye boda boda.
Kwa taarifa yako phase two ya ujenzi wa mji wa serikali ndo umeanza ili kukamilisha majengo ya wizara.
Bado ring road nayo inaendelea bila kusahau Msalato international airport.
Labda wivu tuu unakusumbua
 
Hayo ya Dar es Salaam yanamilikiwa na nani? Niambie majengo na miundo mbinu ya Dar es Salaam inayomilikiwa na watu binafsi versus ya serikali na mashirika yake (kama NHC/ formerly Msajili wa Majumba etc).
Aliyekufa ndo angefanya iwe hivo,
 
Tatizo mmeingia dar juzi ndo mnapiga kelele. Hivyo viwanja unavyonunua kwa square meter kibada wenzio tulinunua kama mashamba tena kwa kubembelezwa miaka ya 2003. Tembeni muelimike. Nyie kaeni na dar yenu mtakuja shtuka wenzenu washakuwa mabilionea
We umekuwa Billionaire lini?
 
Mkuu, uko serious unafananisha Dodoma na Singida?
kabisa singida kuna vibe zaidi dodoma mi naona mavumbi na jangwa tu airport imewekwa sehem kama kariakoo ukishuka kwenye ndege unaenda kupanda bodaboda aisee sijui nani ali plan vile
 
Post iko half baked ni kama umeandika ukiwa kwenye boda boda.
Kwa taarifa yako phase two ya ujenzi wa mji wa serikali ndo umeanza ili kukamilisha majengo ya wizara.
Bado ring road nayo inaendelea bila kusahau Msalato international airport.
Labda wivu tuu unakusumbua
Una minyoo ya ubongo wewe sio bure
 
kabisa singida kuna vibe zaidi dodoma mi naona mavumbi na jangwa tu airport imewekwa sehem kama kariakoo ukishuka kwenye ndege unaenda kupanda bodaboda aisee sijui nani ali plan vile
[emoji3][emoji3]
 
Duuh nipo Dom hapa siku ya tatu, hili jua ni balaaa yan mchana kama jehanum...halafu mvua imegoma decemba hii,nimefika mpaka soko la nabii ndugai wafanyabiashara wanatia huruma sana
 
Duuh nipo Dom hapa siku ya tatu, hili jua ni balaaa yan mchana kama jehanum...halafu mvua imegona decemba hii,nimefuka mpaka soko la nabii ndugai wafanyabiashara wanatia huruma sana
[emoji3][emoji3]soko lile bhana walipoteza hela tu
 
Back
Top Bottom