Wale mliooa wake zenu wakiwa na zaidi ya miaka 30 na wadada mlioolewa mkiwa na zaidi ya miaka 30 pia, karibuni kwa maoni na uzoefu wenu

Jamani siwasimangi , ni uzi wetu sote[emoji23]
Wakati najiunga JF nilikuwa na miaka 24 pengine na wewe ndio umri ulionao..watu walikuwa wanachamba wadada wa 30+ nikawa naangaliaa na nacheka hii[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nilijua 30 mbali kufumba na kufumbua hii hapa. Watu huwa wakimisi kuona vichambo vya single mother, above 30, wanawake wasomi n.k wanakuja kwa mlango wa nyuma na kujifanya wanauliza maswali au wanataka kama ushauri [emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila sio mbaya kikubwa uhai
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] au sio. Wewe unaitwa Mrs Van sisi unatuambia kikubwa pumzi
 
Naona hujui maana ya ndoa na umuhimu wake. Acha kuwapa ushauri wa ajabu kama huu as long as hawana future za kuzaa.

Kama utabisha, fuatilia watoto waliolelewa na bibi zao, ama mzazi mmoja then utaelewa nisemacho hapa.

Ndoa ina maana kubwa sana hasa katika kujenga jamii imara na bora yenye kumcha Mungu na heshima.

Ikitokea mzazi akafa it's okay but nakuambia mtoto aliyekosa mapenzi ya wazazi wawili anachangamoyo kubwa sana.

Nawaombea wale wote wenye nia ya kujenga familia wapate wapenzi wa kuwafaa na wenye kujitambua!!
 
Vice versa.
 
Nipo harusini hapa Sinza,kuna dada wa rafiki yangu anaolewa na 41 mume ni 43...... saafi kabisa......wakati sahihi ni wakati wa Mungu pekee,ningejua ningekualika......sema tu bahati mbaya sikufahamu πŸ˜’
 
Tunaelekea kwenye kipindi cha ubeberu (imperialism era) kama zilivyo inchi matajiri kama Japan unaweza kuta mama ana maisha mazuri lakini anaishi na pets ( mbwa au paka) yaani ndio familia yake hiyo hana mtoto wala mume nasi Africa tunaelekea huko.
Kama unafatilia tunaona mambo kadhaa ambayo zamani hayakuwapo lakini sasa yanajitokeza kwa kasi ya 5G mfano:
  • late marriages
  • distance marriages
  • childless marriages
  • Single life forever
-infertility and barrenness
Mambo yote hayo hapo juu nadhani yanasababishwa na mfumo wa maisha kubadilika ambapo sasa sehemu kubwa ya faraja ya maisha imekuwa pesa na ndo chanzo cha taasisi ya ndoa kukosa mashiko ( marriage institution). Mfano mimi nimekaa na girlfriend wangu tangu tunasoma huko secondary yaani tumefukuana for ten years sasa wakati tuko chuo lodge za kimara, changanyikeni, Manzese, Suvey.Zote hizo nilikuwa nampeleka kumfukua lakini sikuwahi kuwaza ndoa kwa kisingizio cha ubize wa kutafuta maisha mazuri kwanza (bila kujali umri unaenda/ imperialist lifestyle).

Dada wa watu alikua anakaa kwao mimi nishatoka kwa wazazi najitegemea sasa. Akawa akija nyumbani wikiend anafua na kupika na kuosha vyombo then anarudi kwao maana yake naye anafanya kazi lakini anaishi kwao kwa wazazi. Jaribu kufikiria miaka kumi yaani ya kutinduana sina mpango wa ndoa.

Sasa siku moja kanipigia simu akaniambia yuko Lodge X niende huko (hii siku sitasahau maishani). Nilipofika tukafukuana vya kutosha baadae akaniamsha nikakuta kaweka diary na pen kwenye meza. Nikamuuliza nini hicho akaniambia nimekuita Leo nikuulize unaoa lini maana kila sehemu ushagusa na unanifukua tangu tuko sekondari sasa nakuambia bajeti yangu ya send off nishaandika huko nyuma ya diary nataka uandike bajeti yako ya harusi huko mbele ya dairy ukitoka hapa ukatafute hela ya tulivyoviandika humu.

Daaaa mzee baba nikaona Leo ishakuwa nongwa muda huo wote tuko kama tulivyozaliwa. Nikamwambia nipe muda akasema hakuna cha muda wala nini Leo tukitoka hapa naenda kuwaambia nyumbani wajiandae kupokea barua ya posa.

Hapo ndo nikajuwa kumbe nimekaa kwenye uhusiano kwa miaka kumi kisa natafuta maisha na hakuna cha maana nilichopata kwenye hayo maisha.

Baada ya mwezi mmoja mshenga alipeleka barua kulingana na mila zao mwaka uliofata nilioa. Tumeoana tukiwa na miaka 30. Yaani yeye miaka 30 na mimi miaka 30. Ndoa kwangu imekuwa tamu zaidi maana maisha niliokuwa natafuta yameanza kuonekana nikiwa kwenye ndoa. Kajinepepea kwa kulizika hadi tako lote limefutika namchek tu hapa anavyoangaika na watoto.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] au sio. Wewe unaitwa Mrs Van sisi unatuambia kikubwa pumzi
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Ama kweli umevurugwa Leo. Yeye Mrs. Halafu nyie anawaambia mvute subra na msivute bangi
 
Wanawake above 30y hua wanamatatizo mengi. Nitakutajia 0.001% ya hilo lundo la matatizo yao

1. Uzazi unakua wa manati
2. Shahawa na manii zinapotea njia na mimba zinatunga popote pale
3. Wanqzaa watoto wenye mapungufu
4. Wanakua washabomolewa na njembaz sana
5. Wako waluwalu hawanautaratibu
6. Nyapu zimekomaa hata harufu yake sio ile tunayoipendaga
7. Maumbile yanachoka hata mvuto wa mapenzi unakua chini
8. Hata wao hawapati utamu vizuri (sugua utakavyosugua)
9. Hawatumwi

Source: Shemeji yenu
 
Tunaelekea kwenye kipindi cha ubeberu (imperialism era) kama zilivyo inchi matajiri kama Japan unaweza kuta mama ana maisha mazuri lakini anaishi na pets ( mbwa au paka) yaani ndio familia yake hiyo hana mtoto wala mume nasi Africa tunaelekea huko.
Good!

You are brilliant bro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…