Mi nadhan suala la complications za uzazi kwa wadada above 30s ndilo changamoto kubwa.
Wengi mimba zinatunga nje ya kizazi, kujifungua kwa operation, kupata mimba kwa tabu Sana, wengine mpk ugumba n.k
Nmeliona hili Sana,
Wadada wengi hasa wenye kipato Kia's, huamua kuzaa TU kwanza na yeyote kulinda kizazi, Kisha Mambo ya ndoa na mr.perfect baadae.
Sasa akishazaa tu,
Changamoto yake ndo zile zinaibuka case Tena za vijana kutokuoa single mothers, ikifikia hatua iyo ni maumiv makubwa Sana kwa mwanamke.
Na ujikuta pia akijutia maamuz yake ya mwanzo..
Sasa UKISKIA MWANAMKE AMEUMBWA MATESO, BASI NDO KAMA AYO[emoji26]
Poleni Sana kina dada[emoji26]
Sent using
Jamii Forums mobile app