Wale mliooa wake zenu wakiwa na zaidi ya miaka 30 na wadada mlioolewa mkiwa na zaidi ya miaka 30 pia, karibuni kwa maoni na uzoefu wenu

My byuriful lil sis; sorry nimechelewa kuona mention yako. How are you swts?
Aisee ngoja nitafute muda nimuandikie kagazeti kake FS
Well well thanks God, I'm doing great sweet C'sssy walaqhi tena, nimekuwa happy soul once again..!! Time is the Best Healer..!! Mungu akujaze hakika..! Muandikie kagazeti kake kakumtosha tu akii'...!!

Happy Val's Day Sweet C'ssy..!!😍😍
 
Hicho unacho ongea kinawezekana kwa mabikra, ila kama si bikra lazima atagongwa hovyo hovyo tunayaona ngumu kuvumilia genye na hapo heshima yako hushuka.
 
Huyo hakuchoka kukaa nyumbani bali alifuata hela huku akiwa hajui nini maana ya viapo vya ndoa.
 
Itabidi tuongee vizuri lol. So relieved to see you this happy baby. Happy Val's day beloved
Well well thanks God, I'm doing great sweet C'sssy walaqhi tena, nimekuwa happy soul once again..!! Time is the Best Healer..!! Mungu akujaze hakika..! Muandikie kagazeti kake kakumtosha tu akii'...!!

Happy Val's Day Sweet C'ssy..!![emoji7][emoji7]
 
Huyo sista hakuolewa sababu ya umri yeye aliolewa sababu ya tamaa ya hela za jamaa. Dnt confuse the two
Sawa but inafall in the same place mtu anaolewa ilimradi maybe because umri umeenda au kwa sababu tu mtu ana uwezo wa kumuoa ilhali sio sahihi
 
Sawa but inafall in the same place mtu anaolewa ilimradi maybe because umri umeenda au kwa sababu tu mtu ana uwezo wa kumuoa ilhali sio sahihi
kila mwanamke hapa duniani anaolewa kwa sababu potential husband ana uwezo kifedha. na ndio maana wazazi wanakuuliza huyo mchumba wako anafanya kazi gani? hawaulizagi eti mwanetu annnatee umempenda kweli huyo mwanaume?
 
Yeah hilo wanauliza ila siku huyo mwanaume uchumi/kazi ikifa na tayari mnafamilia watasema achana nae hana kitu kaolewe kwingine?
 
Ila we binti umeyataka mwenyewe maana wahuni wengi tumekufata ulipo kuwa Binti ukatutema ukaona hakuna faida ya mwanaume. Sasa kinachokufanya uhangaike saivi ni Nini? We komaa bhana uliyataka mwenyewe
 
Aisee kisa kizur Sana[emoji4]
Natamani waione vijana wakileo,

Mi mwnyw pesa nmeanza kuiona kwa usahii nilipooa, yaan Ni Kama vile mungu huwa anafungulia milango ya baraka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sahii kabisa [emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dear live your life first ndoa ni mpango wa Mungu ukifika huna pa kukwepa ,ndoa ni sacrifice though tunachukulia poa poa tu!ndo maana ndoa nyingi siku hizi chalii!.watu wanavaa shela ila hawaishi kindoa..Nakuombea uolewe na mume sahihi
 
Acha kuwadanganya heshima ya mwanamke ni MME.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…