Wale mliooa wake zenu wakiwa na zaidi ya miaka 30 na wadada mlioolewa mkiwa na zaidi ya miaka 30 pia, karibuni kwa maoni na uzoefu wenu

Hamna complications siku hizi technology inazidi kukua.
Mie nakusubiria tuu pale ambapo mambo yamebana utakubali kuolewa na yule anayepumua🤣🤣🤣🤣

Ebu kaa ufikiris mwenyewe kweli mwanaume kajiwezea kimaisha na anamudu majukumu yake kweli aache kuoa mwanammke mbichi wa miaka 26 aje achukue mmama wa miaka 35
 
Hapana hili sio kwa mwanamke tu hata wewe mwanamme ukifika umri fulani unazurura tu huna ndoa utaonekana huna maana kuna walakini heshima ya mwanamke au mwanamme ni kuwa katika ndoa na mwenzake kujenga family. ukiwa mwanamke mzuri sana lakini umri unaenda huna family yako unatizamwa tofauti unaenda kuonana na wenzako wengine wadogo zako kuna hawakufikii kwa lolote wewe lakini wana wenza wao na family zao lazima utajiona vibaya. Mwanamme hata uwe bilionare handsome huna mke na family yako utatizamwa tofauti. Hii ni natural kila mtu anapenda siku kuwa na Mume na Mke japo linawaathiri sana wanawake na sababu kubwa ukiwa huna ndoa unaonekana una walakini fulani. Tusijifariji hapa huo ndio ukweli heshima ni kuwa katika ndoa haijalishi jinsia gani.
 
Kuoa au kuolewa hakuna ukomo katika umri unategemea mnaona kwa malengo gani.Usijirahisishe kwa kigezo cha umri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…