Usijali babu endelea kusubiri tuMimi sina shida. Ni mvumilivu sana. Nakusubiria kwa hamu
Shida ni kwamba unaishi kwa ajili ya watu. Mimi hata wakinitazama wakadhani nina walakini, kama sina huo walakini hainisumbui kabisa.Hapana hili sio kwa mwanamke tu hata wewe mwanamme ukifika umri fulani unazurura tu huna ndoa utaonekana huna maana kuna walakini heshima ya mwanamke au mwanamme ni kuwa katika ndoa na mwenzake kujenga family. ukiwa mwanamke mzuri sana lakini umri unaenda huna family yako unatizamwa tofauti unaenda kuonana na wenzako wengine wadogo zako kuna hawakufikii kwa lolote wewe lakini wana wenza wao na family zao lazima utajiona vibaya. Mwanamme hata uwe bilionare handsome huna mke na family yako utatizamwa tofauti. Hii ni natural kila mtu anapenda siku kuwa na Mume na Mke japo linawaathiri sana wanawake na sababu kubwa ukiwa huna ndoa unaonekana una walakini fulani. Tusijifariji hapa huo ndio ukweli heshima ni kuwa katika ndoa haijalishi jinsia gani.
Siamini kuwa na mume wa mtu kabisa
Haya maneno tumesikia sana ukweli unabaki kila mwanamme ni lazima uwe na mke na kila mwanamke ni lazima uwe na mume ndio furaha ya kila mtu ndio maana harusi inakuwa jambo la furaha kwako na wazazi wako. Huwezi mwanamme uko 50 uko unazurura tu unasema ndoa sio muhimu. Kusema tu mimi sijali watu sio kweli ni lazima litagusa tu itafika kama sio Mama yako au Baba yako itabidi tu akuulize kulikoni mwanetu huwezi kukaa hivi lazima upate mwenza. Hii ni desturi na pia ni jambo jema kiimani ya dini zetu. Mume bila kuwa na family ni bure tu. Mwanamke sio wa kumlaumu sana anaweza kuwa anaomba apate mume lakini hajapata sio katika uwezo wake ila mwanammke hakuna excuse.Shida ni kwamba unaishi kwa ajili ya watu. Mimi hata wakinitazama wakadhani nina walakini, kama sina huo walakini hainisumbui kabisa.
Siwezi kuoa ili tu nipate heshima kwenye jamii, nitaoa nikihitaji ndoa sio kwa sababu watu wanatarajia kuniona nimeoa.
Jinsi umri unavyokutupa mkono ndivyo mvuto wako unavyotokomea na uchakavu unavyoshamiri.Hello wakuu!,
Happy Sunday to everyone, karibuni kwa maoni yenu, je ni kweli ukiwa above 30yrs kuna possibility ya kutokuolewa kwa wadada? Sababu ni nini, kwani suala la ndoa linazingatia umri na si upendo baina yenu mnaotarajia kuwa wanandoa? Mliooa na kuolewa katika umri huo je kuna tofauti yoyote mnayoiona? Maisha yanaendaje? Ushauri wenu ni upi kwa wengine?.
Kumekuwa na maneno ya kutishana mitaani na hata baadhi ya threads humu kwamba mdada ukiwa na 30s ndiyo basi tenaa, sometimes hupelekea wadada kuolewa tu na mtu yeyote hata wasiyempenda sababu tu ya kigezo hicho kwamba she's in her 30s na anahofia atakosa ndoa.
Zamani mtaani kwetu nilikuwa nikisikia wakisema aunt fulani hajaolewa hadi leo, wanamshangaa, naona sasa kibao kimegeuka nimekuwa huyo aunt pia aah[emoji23].
Karibuni na muwe na Jumapili njema...
No thank you, yaani nijue kabisa kuna bi mkubwa? Moyo wangu utapasuka kwa wivuNa wewe si anakua mume wako
Potelea mbali.Ni sawa na kusubiri meli airport
π€£π€£π€£
Ni huyu aloolewa na Mrema au?π Usikate tamaa, my ex girlfriend kaolewa mwezi uliopita akiwa na 43 yrs
Usihofu Dorothy 38 years kaolewa na Mrema hapa juzi tuHello wakuu!,
Happy Sunday to everyone, karibuni kwa maoni yenu, je ni kweli ukiwa above 30yrs kuna possibility ya kutokuolewa kwa wadada? Sababu ni nini, kwani suala la ndoa linazingatia umri na si upendo baina yenu mnaotarajia kuwa wanandoa? Mliooa na kuolewa katika umri huo je kuna tofauti yoyote mnayoiona? Maisha yanaendaje? Ushauri wenu ni upi kwa wengine?.
Kumekuwa na maneno ya kutishana mitaani na hata baadhi ya threads humu kwamba mdada ukiwa na 30s ndiyo basi tenaa, sometimes hupelekea wadada kuolewa tu na mtu yeyote hata wasiyempenda sababu tu ya kigezo hicho kwamba she's in her 30s na anahofia atakosa ndoa.
Zamani mtaani kwetu nilikuwa nikisikia wakisema aunt fulani hajaolewa hadi leo, wanamshangaa, naona sasa kibao kimegeuka nimekuwa huyo aunt pia aahπ.
Karibuni na muwe na Jumapili njema...
Msimamo wako siuwezi πPotelea mbali.
Nimewahi kusubiri ndege bandarini. Na nikafanikiwa....
Ukiamua utauweza. Sema kwakuwa umeamua kunikomoa. Ila mimi sikati tamaa. Nilishawahi kusubiria papai chini ya nguzo ya umeme. Na nikafanikiwaMsimamo wako siuwezi π
Ametoa tu mfano wa kukaribiana mkuuπ€£Ndoa sio kama mpira...
Asprin akili yako si nzuri π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ππππππππππππππππππππUkiamua utauweza. Sema kwakuwa umeamua kunikomoa. Ila mimi sikati tamaa. Nilishawahi kusubiria papai chini ya nguzo ya umeme. Na nikafanikiwa
Dah kwahiyo unamaanisha tutaolewa na babu zetu?πUsihofu Dorothy 38 years kaolewa na Mrema hapa juzi tu
Hapana, Mungu atakupa mme anayekufaaDah kwahiyo unamaanisha tutaolewa na babu zetu?π
No thank you, yaani nijue kabisa kuna bi mkubwa? Moyo wangu utapasuka kwa wivu