Wale mliooa wake zenu wakiwa na zaidi ya miaka 30 na wadada mlioolewa mkiwa na zaidi ya miaka 30 pia, karibuni kwa maoni na uzoefu wenu

Wale mliooa wake zenu wakiwa na zaidi ya miaka 30 na wadada mlioolewa mkiwa na zaidi ya miaka 30 pia, karibuni kwa maoni na uzoefu wenu

Hapana hili sio kwa mwanamke tu hata wewe mwanamme ukifika umri fulani unazurura tu huna ndoa utaonekana huna maana kuna walakini heshima ya mwanamke au mwanamme ni kuwa katika ndoa na mwenzake kujenga family. ukiwa mwanamke mzuri sana lakini umri unaenda huna family yako unatizamwa tofauti unaenda kuonana na wenzako wengine wadogo zako kuna hawakufikii kwa lolote wewe lakini wana wenza wao na family zao lazima utajiona vibaya. Mwanamme hata uwe bilionare handsome huna mke na family yako utatizamwa tofauti. Hii ni natural kila mtu anapenda siku kuwa na Mume na Mke japo linawaathiri sana wanawake na sababu kubwa ukiwa huna ndoa unaonekana una walakini fulani. Tusijifariji hapa huo ndio ukweli heshima ni kuwa katika ndoa haijalishi jinsia gani.
Shida ni kwamba unaishi kwa ajili ya watu. Mimi hata wakinitazama wakadhani nina walakini, kama sina huo walakini hainisumbui kabisa.

Siwezi kuoa ili tu nipate heshima kwenye jamii, nitaoa nikihitaji ndoa sio kwa sababu watu wanatarajia kuniona nimeoa.
 
Haya maneno tumesikia sana ukweli unabaki kila mwanamme ni lazima uwe na mke na kila mwanamke ni lazima uwe na mume ndio furaha ya kila mtu ndio maana harusi inakuwa jambo la furaha kwako na wazazi wako. Huwezi mwanamme uko 50 uko unazurura tu unasema ndoa sio muhimu. Kusema tu mimi sijali watu sio kweli ni lazima litagusa tu itafika kama sio Mama yako au Baba yako itabidi tu akuulize kulikoni mwanetu huwezi kukaa hivi lazima upate mwenza. Hii ni desturi na pia ni jambo jema kiimani ya dini zetu. Mume bila kuwa na family ni bure tu. Mwanamke sio wa kumlaumu sana anaweza kuwa anaomba apate mume lakini hajapata sio katika uwezo wake ila mwanammke hakuna excuse.
 
Hello wakuu!,

Happy Sunday to everyone, karibuni kwa maoni yenu, je ni kweli ukiwa above 30yrs kuna possibility ya kutokuolewa kwa wadada? Sababu ni nini, kwani suala la ndoa linazingatia umri na si upendo baina yenu mnaotarajia kuwa wanandoa? Mliooa na kuolewa katika umri huo je kuna tofauti yoyote mnayoiona? Maisha yanaendaje? Ushauri wenu ni upi kwa wengine?.

Kumekuwa na maneno ya kutishana mitaani na hata baadhi ya threads humu kwamba mdada ukiwa na 30s ndiyo basi tenaa, sometimes hupelekea wadada kuolewa tu na mtu yeyote hata wasiyempenda sababu tu ya kigezo hicho kwamba she's in her 30s na anahofia atakosa ndoa.

Zamani mtaani kwetu nilikuwa nikisikia wakisema aunt fulani hajaolewa hadi leo, wanamshangaa, naona sasa kibao kimegeuka nimekuwa huyo aunt pia aah[emoji23].

Karibuni na muwe na Jumapili njema...
Jinsi umri unavyokutupa mkono ndivyo mvuto wako unavyotokomea na uchakavu unavyoshamiri.

Wanaume/waoaji (wengi wetu) tunavutiwa zaidi na "mali mbichi", kama bidhaa basi ile halisi kutoka kiwandani au chakavu basi sio sana kivileee.

Tunaamini wenye umri mkubwa wameshachakazwa/wametumika sana...n.k[Sorry, sina mana mbaya]

Japokuwa, kua uwezekano wa kupata mwenza kagika umri wowote...utandawazi na tamaduni-huru zimefungua milango yenye matokeo kwamba Ndoa-Ndoano (haijalishi umri).
 
Hello wakuu!,

Happy Sunday to everyone, karibuni kwa maoni yenu, je ni kweli ukiwa above 30yrs kuna possibility ya kutokuolewa kwa wadada? Sababu ni nini, kwani suala la ndoa linazingatia umri na si upendo baina yenu mnaotarajia kuwa wanandoa? Mliooa na kuolewa katika umri huo je kuna tofauti yoyote mnayoiona? Maisha yanaendaje? Ushauri wenu ni upi kwa wengine?.

Kumekuwa na maneno ya kutishana mitaani na hata baadhi ya threads humu kwamba mdada ukiwa na 30s ndiyo basi tenaa, sometimes hupelekea wadada kuolewa tu na mtu yeyote hata wasiyempenda sababu tu ya kigezo hicho kwamba she's in her 30s na anahofia atakosa ndoa.

Zamani mtaani kwetu nilikuwa nikisikia wakisema aunt fulani hajaolewa hadi leo, wanamshangaa, naona sasa kibao kimegeuka nimekuwa huyo aunt pia aah😂.

Karibuni na muwe na Jumapili njema...
Usihofu Dorothy 38 years kaolewa na Mrema hapa juzi tu
 
Ukiamua utauweza. Sema kwakuwa umeamua kunikomoa. Ila mimi sikati tamaa. Nilishawahi kusubiria papai chini ya nguzo ya umeme. Na nikafanikiwa
Asprin akili yako si nzuri 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Asprin akili yako si nzuri 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ndio bahati mbaya niliyopata. Kuzaliwa alhamisi alfajiri mvua ikiwa inanyesha, lazima akili zicheze kidogo
 
Back
Top Bottom