Wale mliooa wake zenu wakiwa na zaidi ya miaka 30 na wadada mlioolewa mkiwa na zaidi ya miaka 30 pia, karibuni kwa maoni na uzoefu wenu

I wish............!!

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Waowaji wapo wengi tu, maisha ni haya haya, punguza baadhi ya expectations ili na wewe uwe na wako.
 
Aliyekufundisha kutumia emoja aisee anidai soda zake za kutosha[emoji1787][emoji1787]
 
Aliyekufundisha kutumia emoja aisee anidai soda zake za kutosha[emoji1787][emoji1787]
Cha ubishi mbona hutaki dada yako nicheke jamani 🤣🤣🤣🤣nikiamua kuwa bandidu utanikataa ujue.

🤣🤣🤣embu n’cheke mie
 
Binafsi huwa napenda mwanamke mwenye umri kuanzia 30's kwakuwa wanakuwa wamepevuka sana kiakili na anakuwa mshauri mzuri sana kwenye mambo mbalimbali ya kimaisha. Hawa below hiyo age huwa wana utoto mwingi sana.
 
Cha ubishi mbona hutaki dada yako nicheke jamani 🤣🤣🤣🤣nikiamua kuwa bandidu utanikataa ujue.

🤣🤣🤣embu n’cheke mie
Manake hapa kwanza nicheke😂

Hizi emoj Kuna namna aiseeee.

Mungu saidia jini mkata kamba asipite,tule ubwabwa mwaka huu🏃🏾‍♀️
 
Binafsi huwa napenda mwanamke mwenye umri kuanzia 30's kwakuwa wanakuwa wamepevuka sana kiakili na anakuwa mshauri mzuri sana kwenye mambo mbalimbali ya kimaisha. Hawa below hiyo age huwa wana utoto mwingi sana.
Ahsanteee maana mtaani wanatuona wazee eti tumepoteza mvuto. Nakubaliana na wewe hii age wengi tunakua tumeshaachana na mambo ya ujana tunafocus kwenye mambo muhimu ya maisha, tuko real na hatuna utoto.
 
Umenifurahisha hapo kwenye aunt mwenyew ndo wewe ,usijari dear Mungu atakupa Kwa wakati wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…