Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Yaani mimi nikuoe? Huwezi jua lakini mipango ya MunguDah kwahiyo unamaanisha tutaolewa na babu zetu?🙄
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani mimi nikuoe? Huwezi jua lakini mipango ya MunguDah kwahiyo unamaanisha tutaolewa na babu zetu?🙄
I wish............!!Tunaelekea kwenye kipindi cha ubeberu (imperialism era) kama zilivyo inchi matajiri kama Japan unaweza kuta mama ana maisha mazuri lakini anaishi na pets ( mbwa au paka) yaani ndio familia yake hiyo hana mtoto wala mume nasi Africa tunaelekea huko.
Kama unafatilia tunaona mambo kadhaa ambayo zamani hayakuwapo lakini sasa yanajitokeza kwa kasi ya 5G mfano:
-infertility and barrenness
- late marriages
- distance marriages
- childless marriages
- Single life forever
Mambo yote hayo hapo juu nadhani yanasababishwa na mfumo wa maisha kubadilika ambapo sasa sehemu kubwa ya faraja ya maisha imekuwa pesa na ndo chanzo cha taasisi ya ndoa kukosa mashiko ( marriage institution). Mfano mimi nimekaa na girlfriend wangu tangu tunasoma huko secondary yaani tumefukuana for ten years sasa wakati tuko chuo lodge za kimara, changanyikeni, Manzese, Suvey.Zote hizo nilikuwa nampeleka kumfukua lakini sikuwahi kuwaza ndoa kwa kisingizio cha ubize wa kutafuta maisha mazuri kwanza (bila kujali umri unaenda/ imperialist lifestyle). Dada wa watu alikua anakaa kwao mimi nishatoka kwa wazazi najitegemea sasa. Akawa akija nyumbani wikiend anafua na kupika na kuosha vyombo then anarudi kwao maana yake naye anafanya kazi lakini anaishi kwao kwa wazazi. Jaribu kufikiria miaka kumi yaani ya kutinduana sina mpango wa ndoa.
Sasa siku moja kanipigia simu akaniambia yuko Lodge X niende huko (hii siku sitasahau maishani). Nilipofika tukafukuana vya kutosha baadae akaniamsha nikakuta kaweka diary na pen kwenye meza. Nikamuuliza nini hicho akaniambia nimekuita Leo nikuulize unaoa lini maana kila sehemu ushagusa na unanifukua tangu tuko sekondari sasa nakuambia bajeti yangu ya send off nishaandika huko nyuma ya diary nataka uandike bajeti yako ya harusi huko mbele ya dairy ukitoka hapa ukatafute hela ya tulivyoviandika humu.
Daaaa mzee baba nikaona Leo ishakuwa nongwa muda huo wote tuko kama tulivyozaliwa. Nikamwambia nipe muda akasema hakuna cha muda wala nini Leo tukitoka hapa naenda kuwaambia nyumbani wajiandae kupokea barua ya posa.
Hapo ndo nikajuwa kumbe nimekaa kwenye uhusiano kwa miaka kumi kisa natafuta maisha na hakuna cha maana nilichopata kwenye hayo maisha.
Baada ya mwezi mmoja mshenga alipeleka barua kulingana na mila zao mwaka uliofata nilioa. Tumeoana tukiwa na miaka 30. Yaani yeye miaka 30 na mimi miaka 30. Ndoa kwangu imekuwa tamu zaidi maana maisha niliokuwa natafuta yameanza kuonekana nikiwa kwenye ndoa. Kajinepepea kwa kulizika hadi tako lote limefutika namchek tu hapa anavyoangaika na watoto.
😂😂 siwezi kukubali kuolewa na babuYaani mimi nikuoe? Huwezi jua lakini mipango ya Mungu
Ameen ahsante mkuuHapana, Mungu atakupa mme anayekufaa
Thank you mkuuIla nimekupenda..you are very humble..[emoji28],una majibu mazuri mno..
Aliyekufundisha kutumia emoja aisee anidai soda zake za kutosha[emoji1787][emoji1787]Asprin akili yako si nzuri [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shauri zako. Unakosa bahati ya kufurahia pensheni😂😂 siwezi kukubali kuolewa na babu
Cha ubishi mbona hutaki dada yako nicheke jamani 🤣🤣🤣🤣nikiamua kuwa bandidu utanikataa ujue.Aliyekufundisha kutumia emoja aisee anidai soda zake za kutosha[emoji1787][emoji1787]
Wewe mwenyewe uncle tu, usinitishe
Wewe mwenyewe uncle tu, usinitisheEti Ankoli mwenye swagger zake
Binafsi huwa napenda mwanamke mwenye umri kuanzia 30's kwakuwa wanakuwa wamepevuka sana kiakili na anakuwa mshauri mzuri sana kwenye mambo mbalimbali ya kimaisha. Hawa below hiyo age huwa wana utoto mwingi sana.Hello wakuu!,
Happy Sunday to everyone, karibuni kwa maoni yenu, je ni kweli ukiwa above 30yrs kuna possibility ya kutokuolewa kwa wadada? Sababu ni nini, kwani suala la ndoa linazingatia umri na si upendo baina yenu mnaotarajia kuwa wanandoa? Mliooa na kuolewa katika umri huo je kuna tofauti yoyote mnayoiona? Maisha yanaendaje? Ushauri wenu ni upi kwa wengine?.
Kumekuwa na maneno ya kutishana mitaani na hata baadhi ya threads humu kwamba mdada ukiwa na 30s ndiyo basi tenaa, sometimes hupelekea wadada kuolewa tu na mtu yeyote hata wasiyempenda sababu tu ya kigezo hicho kwamba she's in her 30s na anahofia atakosa ndoa.
Zamani mtaani kwetu nilikuwa nikisikia wakisema aunt fulani hajaolewa hadi leo, wanamshangaa, naona sasa kibao kimegeuka nimekuwa huyo aunt pia aah[emoji23].
Karibuni na muwe na Jumapili njema...
Manake hapa kwanza nicheke😂Cha ubishi mbona hutaki dada yako nicheke jamani 🤣🤣🤣🤣nikiamua kuwa bandidu utanikataa ujue.
🤣🤣🤣embu n’cheke mie
Ahsanteee maana mtaani wanatuona wazee eti tumepoteza mvuto. Nakubaliana na wewe hii age wengi tunakua tumeshaachana na mambo ya ujana tunafocus kwenye mambo muhimu ya maisha, tuko real na hatuna utoto.Binafsi huwa napenda mwanamke mwenye umri kuanzia 30's kwakuwa wanakuwa wamepevuka sana kiakili na anakuwa mshauri mzuri sana kwenye mambo mbalimbali ya kimaisha. Hawa below hiyo age huwa wana utoto mwingi sana.
Hakuna namna yoyote cha ubishi wanguManake hapa kwanza nicheke😂
Hizi emoj Kuna namna aiseeee.
Mungu saidia jini mkata kamba asipite,tule ubwabwa mwaka huu🏃🏾♀️
Yaani hili nalo unataka tubishane jamani wakati ipo namna[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakuna namna yoyote cha ubishi wangu
Umenifurahisha hapo kwenye aunt mwenyew ndo wewe ,usijari dear Mungu atakupa Kwa wakati wako.Hello wakuu!,
Happy Sunday to everyone, karibuni kwa maoni yenu, je ni kweli ukiwa above 30yrs kuna possibility ya kutokuolewa kwa wadada? Sababu ni nini, kwani suala la ndoa linazingatia umri na si upendo baina yenu mnaotarajia kuwa wanandoa? Mliooa na kuolewa katika umri huo je kuna tofauti yoyote mnayoiona? Maisha yanaendaje? Ushauri wenu ni upi kwa wengine?.
Kumekuwa na maneno ya kutishana mitaani na hata baadhi ya threads humu kwamba mdada ukiwa na 30s ndiyo basi tenaa, sometimes hupelekea wadada kuolewa tu na mtu yeyote hata wasiyempenda sababu tu ya kigezo hicho kwamba she's in her 30s na anahofia atakosa ndoa.
Zamani mtaani kwetu nilikuwa nikisikia wakisema aunt fulani hajaolewa hadi leo, wanamshangaa, naona sasa kibao kimegeuka nimekuwa huyo aunt pia aah😂.
Karibuni na muwe na Jumapili njema...
Thank you dear, amenUmenifurahisha hapo kwenye aunt mwenyew ndo wewe ,usijari dear Mungu atakupa Kwa wakati wako.