Wale mliooa wake zenu wakiwa na zaidi ya miaka 30 na wadada mlioolewa mkiwa na zaidi ya miaka 30 pia, karibuni kwa maoni na uzoefu wenu


Bado mko pamojabau mmeachana?


Natamani kujua
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu fanya niwe MC haraka iwezekanavyo,
Usinitanie sis, ila Dunia bhana mweeeh.
 
Kwa hiyo financial services umeamua kutengeneza huu uzi uangalie reaction iko vipi kama kuna mwanaume wa kuoa mama wa miaka 30? Kama una mtu tayari wa kukuoa, mwambie afanye hivyo haraka iwezekanavyo!
Kwa niaba ya wanaume wote nipende kusema Wanaume hatuoi wazee
 
Aah mkuu hujaona confessions za wanaume wenzio walioaa above 30yrs wanavyoenjoy maisha? Kwa niaba ya wanawake wote above 30yrs nasema hivi "usitutishe" kama ndoa ipo ipo tu hata tukija kuwa na 40😬"
 
Aah mkuu hujaona confessions za wanaume wenzio walioaa above 30yrs wanavyoenjoy maisha? Kwa niaba ya wanawake wote above 30yrs nasema hivi "usitutishe" kama ndoa ipo ipo tu hata tukija kuwa na 40[emoji51]"
Jamaa amesema ukweli hata mimi ni mwanaume nakwambia hivyo hao wachache wanakupa tu moyo na probability kutokea ni ndogo
 
Aah mkuu hujaona confessions za wanaume wenzio walioaa above 30yrs wanavyoenjoy maisha? Kwa niaba ya wanawake wote above 30yrs nasema hivi "usitutishe" kama ndoa ipo ipo tu hata tukija kuwa na 40😬"
Wapo wanaoolewa kwa miaka 30 na kuzidi,wengi wao wameamua kutokuzaa nje ya ndoa nakutunza Dignity zao,suala ni moja inaweza karata kufanikiwa ama isifanikiwe.,na Umri ukazidi kwenda ,Ila kubwa zaidi umri huo ni wa kupunguza mayatajio uliyojiwekea ukiwa 20s wa kumchora mwanaume unayemtaka wewe,hakuna namna zaidi ya kupunguza vigezo kwa sasa
 
Mdada above 30,chances za kiolewa ni ndogo,ila inatokeaga.Pole sana kwa wadada,maana kuna muda mtu anakata tamaa,anamuachia kila mtu anayemtaka akidhani lands atamuoa,kumbe ni mgongaji tu,na uongo ulivyo-advance,mmh....! ni hatari sana.
 
Shida ya over 30 ni body count kubwa, matumizi ya p2 yaliyopitiliza ambayo yanaweza leta shida kwenye mambo ya uzazi. Uzuri ni kwamba hawana mbwembwe na wanataka ku-settle down.
 
Kama upo 32yrs for instance, hujapata partner ambaye una uhakika wa kuingia nae kwenye ndoa, basi ngoma itafika 35yrs bila bila, likelihood!

Ndoa sio kila kitu katika maisha!
Wewe upo kwenye ndoa mkuu?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…