financial services hebu nikupe uzoefu wangu kwa upande wa kinyume chake.
Mimi niliolewa na miaka 21.
Nikimtizama binti yangu mwenye miaka 22 leo.
Siamini kuwa niliruhusiwa kuolewa nikiwa nina mwaka mmoja chini yake.
Najiuliza kwann wazazi hawakunikatalia ile posa?
Nakuja kuhitimisha wangekuwa ni wazazi wangu kabisa baba na mama yangu wangenigomea.
Nafkiri walioniozesha waliona ni nafuu niende.
Ipo tafsiri kubwa sana ya miaka 30 na kuendelea.
Ukiniuliza mimi, nafkiri miaka 30 ndo miaka sahihi ya binti kuolewa.
Mi nilikuja kuelewa maana ya ndoa nikiwa nimeshakaa miaka zaidi ya 8 kama sio 10 kabisa.
I was too young to marry, we were both too young.
21 kwa 23.
Jamani!!
By 35 tumeshaoneshana kila rangi!!
Mxxxxxxxiiiieeee.
Bado mko pamojabau mmeachana?
Natamani kujua