holy spirit
JF-Expert Member
- Nov 30, 2020
- 856
- 1,376
Ina maana akiwa binti yako utamwambia aachane na phd atafute mchumba kwanza aoleweGenerally wanawake above 30 wasioolewa wasiolewe kabisa kwa maana inaonyesha haoni umuhim wa ndoa maishan mwake hata akiolewa atakua mtu wa kujali yaliyomchelewesha kuolewa
Unatafuta phd huna mchumba ng'ombe kbx
Utazaa lin,utalea watoto lin?
Kabisa, Wewe wakwako utamshaulije?Ina maana akiwa binti yako utamwambia aachane na phd atafute mchumba kwanza aolewe
Phd kwanzaKabisa, Wewe wakwako utamshaulije?
🤣ulikuwa unahesabu mkuu😳 mbona safari yangu ilishaisha kitamboHesabu ndogo ya darasa la saba
25_31_33_34 tofaut iliyopo 6_3_1_n.
Unahisi inayofuata hapo ni ngapi kama siyo 0 kumaanisha safar yako imeishia hapo.
Pole sana[emoji22]
Daaaaaah, Usinung'unike sana yupo Yesu[emoji12][emoji1787]ulikuwa unahesabu mkuu[emoji15] mbona safari yangu ilishaisha kitambo
Afu akizeeka unaanza kulilia wajukuu? Au utamsaidiaje?Phd kwanza
Kwani wewe ndoa lazimaBado sijafika 30 but naona ntaolew in my 30+ coz watu nao kutana nao Yan bado Wana ujana mwingi
Aolewe tu hivohivo atazeeka nae ujana utaisha.Kwani wewe ndoa lazima
Tatizo ulipokuwa 20's ulikuwa unawauliza wadau "namba yangu umetoa wapi?"Wakuu hizi comments zenu[emoji25][emoji25] ila poa tu nyie subirieni hizo namba E , tutapata hao namba C wenzetu
Yeye agegedane tuu hamna shida ya ndoa...cha msingi anapata utamu na siku hizi naona sayansi imewarahisishia wanawake kupata mimba.Aolewe tu hivohivo atazeeka nae ujana utaisha.
Wala sijawahi kuuliza hivo mimi🤔Tatizo ulipokuwa 20's ulikuwa unawauliza wadau "namba yangu umetoa wapi?"
Njoo tuyajenge nilikuwa natafuta kama wewe 😎Kwanini mkuu jamani? Sure nahitaji shuhuda maana this year naturn 30yrs na sielewiii🙄
Auntie mimi niko siriaz nataka auntie kama wewe plz njoo pm sitakuangushaHello wakuu!,
Happy Sunday to everyone, karibuni kwa maoni yenu, je ni kweli ukiwa above 30yrs kuna possibility ya kutokuolewa kwa wadada? Sababu ni nini, kwani suala la ndoa linazingatia umri na si upendo baina yenu mnaotarajia kuwa wanandoa? Mliooa na kuolewa katika umri huo je kuna tofauti yoyote mnayoiona? Maisha yanaendaje? Ushauri wenu ni upi kwa wengine?.
Kumekuwa na maneno ya kutishana mitaani na hata baadhi ya threads humu kwamba mdada ukiwa na 30s ndiyo basi tenaa, sometimes hupelekea wadada kuolewa tu na mtu yeyote hata wasiyempenda sababu tu ya kigezo hicho kwamba she's in her 30s na anahofia atakosa ndoa.
Zamani mtaani kwetu nilikuwa nikisikia wakisema aunt fulani hajaolewa hadi leo, wanamshangaa, naona sasa kibao kimegeuka nimekuwa huyo aunt pia aah[emoji23].
Karibuni na muwe na Jumapili njema...
Ukiwa na maana ?Mali safi iopolewe na mali safi.
Shangazi mimi ni namba A kabisa uko tayari mkuu?Auntie mimi niko siriaz nataka auntie kama wewe plz njoo pm sitakuangusha
😜 utaiweza namba A tena ni AAA mkuu?Njoo tuyajenge nilikuwa natafuta kama wewe 😎
Mimi ni TZA tutawezana😜 utaiweza namba A tena ni AAA mkuu?
Yaani umri unakimbia mno, juzi juzi tu nilikua binti mbichiii 20yrs mara ghafla 30 hii hapa🤔Ila KE pressure huwa kubwa ikifika 27yrs kuendelea. Bora sie kidogo ,japo bado ni hatari .Watu tupo 35 ooooops!