Wale mliooa wake zenu wakiwa na zaidi ya miaka 30 na wadada mlioolewa mkiwa na zaidi ya miaka 30 pia, karibuni kwa maoni na uzoefu wenu

Wale mliooa wake zenu wakiwa na zaidi ya miaka 30 na wadada mlioolewa mkiwa na zaidi ya miaka 30 pia, karibuni kwa maoni na uzoefu wenu

Generally wanawake above 30 wasioolewa wasiolewe kabisa kwa maana inaonyesha haoni umuhim wa ndoa maishan mwake hata akiolewa atakua mtu wa kujali yaliyomchelewesha kuolewa
Unatafuta phd huna mchumba ng'ombe kbx
Utazaa lin,utalea watoto lin?
Ina maana akiwa binti yako utamwambia aachane na phd atafute mchumba kwanza aolewe
 
Hesabu ndogo ya darasa la saba
25_31_33_34 tofaut iliyopo 6_3_1_n.
Unahisi inayofuata hapo ni ngapi kama siyo 0 kumaanisha safar yako imeishia hapo.
Pole sana[emoji22]
🤣ulikuwa unahesabu mkuu😳 mbona safari yangu ilishaisha kitambo
 
Aolewe tu hivohivo atazeeka nae ujana utaisha.
Yeye agegedane tuu hamna shida ya ndoa...cha msingi anapata utamu na siku hizi naona sayansi imewarahisishia wanawake kupata mimba.
 
Hello wakuu!,

Happy Sunday to everyone, karibuni kwa maoni yenu, je ni kweli ukiwa above 30yrs kuna possibility ya kutokuolewa kwa wadada? Sababu ni nini, kwani suala la ndoa linazingatia umri na si upendo baina yenu mnaotarajia kuwa wanandoa? Mliooa na kuolewa katika umri huo je kuna tofauti yoyote mnayoiona? Maisha yanaendaje? Ushauri wenu ni upi kwa wengine?.

Kumekuwa na maneno ya kutishana mitaani na hata baadhi ya threads humu kwamba mdada ukiwa na 30s ndiyo basi tenaa, sometimes hupelekea wadada kuolewa tu na mtu yeyote hata wasiyempenda sababu tu ya kigezo hicho kwamba she's in her 30s na anahofia atakosa ndoa.

Zamani mtaani kwetu nilikuwa nikisikia wakisema aunt fulani hajaolewa hadi leo, wanamshangaa, naona sasa kibao kimegeuka nimekuwa huyo aunt pia aah[emoji23].

Karibuni na muwe na Jumapili njema...
Auntie mimi niko siriaz nataka auntie kama wewe plz njoo pm sitakuangusha
 
Back
Top Bottom