Wale mliooa wake zenu wakiwa na zaidi ya miaka 30 na wadada mlioolewa mkiwa na zaidi ya miaka 30 pia, karibuni kwa maoni na uzoefu wenu

Ila KE pressure huwa kubwa ikifika 27yrs kuendelea. Bora sie kidogo ,japo bado ni hatari .Watu tupo 35 ooooops!
Thamani ya mwanaume ni pesa, thamani ya mwanamke ni umri wake. Tunza hii kichwani kwako.

Ndio maana swali la kwanza ukienda kujitambulisha ukweni watataka kujua unafanya shughuli gani kutengeneza kipato na sio umri wako.

Ila mwanamke akipelekwa ukweni watataka kujua historia yake ikoje na umri wake pia, unajua kwa nini wanauliza haya?

Endapo kama akiwa na umri mkubwa sana kuanzia miaka 30 risk ya compications ya kupata mtoto na yeye mwenyewe inakuwa kubwa especially ikiwa ndio mara yake ya kwanza kuzaa.

Kuna utofauti mkubwa sana wa mwanamke aliyezaa akiwa na miaka 24 halafu akaja kuzaa tena akiwa na miaka 39 na yule anayeanza kuzaa mara kwa mara ya kwanza akiwa na miaka 30.
 
Pia kukazia hapo thamani ya mwanaume huongezeka kadri anavyozidi kuwa na umri mkubwa. Asilimia kubwa wanaume wengi ukifika kuanzia miaka 30 unaanza kuwa financially stable na hapa ndipo unapoanza kuwa ulimbo.

Mwanaume anayejiweza kimfuko machoni kwa wanawake ni sawa sawa na manzi mkali mwenye miaka 22 (8 to 10 on beauty scale) machoni pa wanaume. Silaha ya mwanaume ni mfuko wake na sio umri wake ila kwa mwanamke ni kinyume chake.
 
Wengine wanataka kutimiza agizo la Mungu. La kumuacha Baba na Mama na kuambatana na Mwenzake (Mume wake)

Kwanini azeekee kwao?

BTW, kwa Mabinti wa sikuhizi na akili zao, mimi sioni kama Binti wa miaka 30 ni mkubwa sana...labda akifika kuanzia 33 kuendelea huyo amechelewa.
 
Age is just a number...

Na kwa hali ya sasa the best wives ni wale ambao wako 30+ hasa ukipata ambaye hajaumizwa na kuchezewa sana na mabaharia.
 
30 yrs anakua katumika sana ana maex kila kona, kuoa mtu wa hivyo ni iahu kwakweli.

Kila ex akiamua kujinyakulia koloni lake kulipata ni rahisi si wajua tena kupasha viporo.

Kuolewa kwa mdada mwisho ni 25 aisee zaidi ya hapo ni majanga tu.
 
Ati nimemwambia nitamuoa nikfikisha 30[emoji849] na tunalingana!
Nifanyaje/Afanyaje?
 
Ati nimemwambia nitamuoa nikfikisha 30[emoji849] na tunalingana!
Nifanyaje/Afanyaje?
Acha kumdanganya mtoto wa watu.

Kuna girls wako desparate sana na kuolewa kiasi kwamba anaweza hata fanya mamb ya ajabu ili aolewe tu.

Sasa wewe kigezp gani ulichotumia mpaka useme hadi ufike 30!? Na mko sawa ina maana wotw mtakua 30 yrs of age. Na wanawake hukongoroka kadri umri unavyokwenda na kuonekana wamama na wabibi zaidii.

Je akikongoroka utamuoaa??
 
Ntamuoa wallah Mkuu, Au ntakua nmezingua?

30 umri kigezo ni plan zang tu nlizpanga hivyo since young. Though nae amekuepo since young.
Ni kama tumekubaliana ila kuna mda aga naona kama ntamuumiza sana.
 
Ntamuoa wallah Mkuu, Au ntakua nmezingua?

30 umri kigezo ni plan zang tu nlizpanga hivyo since young. Though nae amekuepo since young.
Ni kama tumekubaliana ila kuna mda aga naona kama ntamuumiza sana.
Kama mlikua pamoja since mko wadogo usipomuoa mkifika 30 sijui itakuaje maana wanawake huamini sana ahadi.
 
Age is just a number...

Na kwa hali ya sasa the best wives ni wale ambao wako 30+ hasa ukipata ambaye hajaumizwa na kuchezewa sana na mabaharia.
Ngumu sana kukutana na 30+ akawa hajaumizwa. Ila nakubaliana kuwa 30+, hasa 30-34 hapo wanafaa sana kuingia ndoani.
 
Kama mlikua pamoja since mko wadogo usipomuoa mkifika 30 sijui itakuaje maana wanawake huamini sana ahadi.
Ntamuo buana Allah tu ajaalie yasiingilie ya Kigoma na Mwanza ntamalza nae safari Maana stak kuja kujuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…