financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
- Thread starter
- #841
Hahaa na haya mapengo utaweza mkuu? Wewe ni TZA ila model mpya🤷♀️Mimi ni TZA tutawezana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaa na haya mapengo utaweza mkuu? Wewe ni TZA ila model mpya🤷♀️Mimi ni TZA tutawezana
Mbona unanikatisha tamaaHahaa na haya mapengo utaweza mkuu? Wewe ni TZA ila model mpya🤷♀️
Thamani ya mwanaume ni pesa, thamani ya mwanamke ni umri wake. Tunza hii kichwani kwako.Ila KE pressure huwa kubwa ikifika 27yrs kuendelea. Bora sie kidogo ,japo bado ni hatari .Watu tupo 35 ooooops!
Pia kukazia hapo thamani ya mwanaume huongezeka kadri anavyozidi kuwa na umri mkubwa. Asilimia kubwa wanaume wengi ukifika kuanzia miaka 30 unaanza kuwa financially stable na hapa ndipo unapoanza kuwa ulimbo.Thamani ya mwanaume ni pesa, thamani ya mwanamke ni umri wake. Tunza hii kichwani kwako.
Ndio maana swali la kwanza ukienda kujitambulisha ukweni watataka kujua unafanya shughuli gani kutengeneza kipato na sio umri wako.
Ila mwanamke akipelekwa ukweni watataka kujua historia yake ikoje na umri wake pia, unajua kwa nini wanauliza haya?
Endapo kama akiwa na umri mkubwa sana kuanzia miaka 30 risk ya compications ya kupata mtoto na yeye mwenyewe inakuwa kubwa especially ikiwa ndio mara yake ya kwanza kuzaa.
Kuna utofauti mkubwa sana wa mwanamke aliyezaa akiwa na miaka 24 halafu akaja kuzaa tena akiwa na miaka 39 na yule anayeanza kuzaa mara kwa mara ya kwanza akiwa na miaka 30.
Haaaha! You're so funny, i like that.Hahaa na haya mapengo utaweza mkuu? Wewe ni TZA ila model mpya[emoji2368]
Wengine wanataka kutimiza agizo la Mungu. La kumuacha Baba na Mama na kuambatana na Mwenzake (Mume wake)Mimi nina maoni tofauti kidogo.
Kwa nini tunaipa ndoa uzito mkubwa ambao haistahili. Kwani maisha bila ndoa hayawezekani?
Unamkuta dada wa watu mzuri tu na tabia yake safi lakini analiwa ovyo na wanaume wasioeleweka na wasiompenda kisa kutafuta ndoa. Tena wengine shida yao ni kuvaa shela tu awakoge kina Mwajuma Nchokonoe kwenye vijiwe vya umbea vya kisasa vya instagram na whatsapp.
Ladies you can make your life beautiful even in absence of marriage.
Sasa 30+ hajatumika sana unampata ulimwengu gan Mkuu?Age is just a number...
Na kwa hali ya sasa the best wives ni wale ambao wako 30+ hasa ukipata ambaye hajaumizwa na kuchezewa sana na mabaharia.
Dah!Sasa 30+ hajatumika sana unampata ulimwengu gan Mkuu?
Rahsisha tu kwamba Vyombo chakavu ndo Mali bora kwa kuoa labda ntakuelewa.
Kwanini hukumuoa mkuu??🐅 Usikate tamaa, my ex girlfriend kaolewa mwezi uliopita akiwa na 43 yrs
Ati nimemwambia nitamuoa nikfikisha 30[emoji849] na tunalingana!30 yrs anakua katumika sana ana maex kila kona, kuoa mtu wa hivyo ni iahu kwakweli.
Kila ex akiamua kujinyakulia koloni lake kulipata ni rahisi si wajua tena kupasha viporo.
Kuolewa kwa mdada mwisho ni 25 aisee zaidi ya hapo ni majanga tu.
Acha kumdanganya mtoto wa watu.Ati nimemwambia nitamuoa nikfikisha 30[emoji849] na tunalingana!
Nifanyaje/Afanyaje?
Ntamuoa wallah Mkuu, Au ntakua nmezingua?Acha kumdanganya mtoto wa watu.
Kuna girls wako desparate sana na kuolewa kiasi kwamba anaweza hata fanya mamb ya ajabu ili aolewe tu.
Sasa wewe kigezp gani ulichotumia mpaka useme hadi ufike 30!? Na mko sawa ina maana wotw mtakua 30 yrs of age. Na wanawake hukongoroka kadri umri unavyokwenda na kuonekana wamama na wabibi zaidii.
Je akikongoroka utamuoaa??
Kama mlikua pamoja since mko wadogo usipomuoa mkifika 30 sijui itakuaje maana wanawake huamini sana ahadi.Ntamuoa wallah Mkuu, Au ntakua nmezingua?
30 umri kigezo ni plan zang tu nlizpanga hivyo since young. Though nae amekuepo since young.
Ni kama tumekubaliana ila kuna mda aga naona kama ntamuumiza sana.
Yaani aseme Mali mbovu ndio ,zinadumuSasa 30+ hajatumika sana unampata ulimwengu gan Mkuu?
Rahsisha tu kwamba Vyombo chakavu ndo Mali bora kwa kuoa labda ntakuelewa.
Ngumu sana kukutana na 30+ akawa hajaumizwa. Ila nakubaliana kuwa 30+, hasa 30-34 hapo wanafaa sana kuingia ndoani.Age is just a number...
Na kwa hali ya sasa the best wives ni wale ambao wako 30+ hasa ukipata ambaye hajaumizwa na kuchezewa sana na mabaharia.
Ntamuo buana Allah tu ajaalie yasiingilie ya Kigoma na Mwanza ntamalza nae safari Maana stak kuja kujuta.Kama mlikua pamoja since mko wadogo usipomuoa mkifika 30 sijui itakuaje maana wanawake huamini sana ahadi.
EwaaahYaani aseme Mali mbovu ndio ,zinadumu