Hii Ni chai,Kajala ana miaka 41 ndiyo kwanza kavushwa pete na kijana wa 90s. Kwahiyo huyu mleta mada kae kwa kutulia tu
Over 30 akikutunuku mbususu unapiga au hupigi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Aisee...hutaki mbususu mlepweto kabisa.
Ila wadada wanakuwa na maringo bwana wakiwa bado wamoto ila wakishafika 28 hamna muelekeo ndio wanaanza kutia akili.
Sasa jamani mwanamke over 30 unaoa ili iwaje? Huyo apambanenna hali yake tuu
Ohoooo Ole wao wabishao kwa maana watatujib Paula ana Miaka mingap!Hii Ni chai,
Kajala 41 hajafikisha bhana[emoji4]
Wee jamaa bhanaMzeya naona unawapigia debe kiushikaji wenye sura pesono [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dah hsemalo kweli mwanamke mpaka akagike 30 anajua design mbali mbali za ceiling board.
Ni kosa la jinai kwa mwanaume kukataa kusasambua mbususu as long as mwanamke kaileta mwenyeweOver 30 akikutunuku mbususu unapiga au hupigi?
Wengi wao wanakuwa waliolewa huko vyuoni halafu mabaharia wakawatema. Yaani ukimpata aliyeumizwa sawasawa inabidi wewe ndo uwe mume na therapist hapo hapo vinginevyo mambo hayataenda.Ngumu sana kukutana na 30+ akawa hajaumizwa. Ila nakubaliana kuwa 30+, hasa 30-34 hapo wanafaa sana kuingia ndoani.
Ha ha ha...eti uzur umefifia[emoji16]Me nadhan kilichokuchelewesha mpaka kufka hapo ni kutafuta pesa so inabid unitoe wasi wasi isiwe ulikua busy na mabo mengne tu, Umri umeenda,Uzur umefifia,pesa huna daaaah! Ni zaid ya mzgo huu.
Sie tunampanukweli wa mambo. Sasa wee mwanamke mpaka 30 hajaolewa alikuwa anafanya nini?Majamaa hata hawaoneshi dalili ya kumtia Moyo Mtoa mada. Hasa hasa mzabzab [emoji4]
Sahii kabisa[emoji106]Pia kukazia hapo thamani ya mwanaume huongezeka kadri anavyozidi kuwa na umri mkubwa. Asilimia kubwa wanaume wengi ukifika kuanzia miaka 30 unaanza kuwa financially stable na hapa ndipo unapoanza kuwa ulimbo.
Mwanaume anayejiweza kimfuko machoni kwa wanawake ni sawa sawa na manzi mkali mwenye miaka 22 (8 to 10 on beauty scale) machoni pa wanaume. Silaha ya mwanaume ni mfuko wake na sio umri wake ila kwa mwanamke ni kinyume chake.
Point[emoji106]Thamani ya mwanaume ni pesa, thamani ya mwanamke ni umri wake. Tunza hii kichwani kwako.
Ndio maana swali la kwanza ukienda kujitambulisha ukweni watataka kujua unafanya shughuli gani kutengeneza kipato na sio umri wako.
Ila mwanamke akipelekwa ukweni watataka kujua historia yake ikoje na umri wake pia, unajua kwa nini wanauliza haya?
Endapo kama akiwa na umri mkubwa sana kuanzia miaka 30 risk ya compications ya kupata mtoto na yeye mwenyewe inakuwa kubwa especially ikiwa ndio mara yake ya kwanza kuzaa.
Kuna utofauti mkubwa sana wa mwanamke aliyezaa akiwa na miaka 24 halafu akaja kuzaa tena akiwa na miaka 39 na yule anayeanza kuzaa mara kwa mara ya kwanza akiwa na miaka 30.
Unamtoa wapi na ulimwengu huu mabinti wanatolewa Bikra since wake primary, sekondary wanabeba mibaba.Age is just a number...
Na kwa hali ya sasa the best wives ni wale ambao wako 30+ hasa ukipata ambaye hajaumizwa na kuchezewa sana na mabaharia.
Kikwetu kwetu Ni Changamoto,Kama mwanamke auolewi na umri unaenda basi oa wewe
Paula Yuko kwenye 18,Ohoooo Ole wao wabishao kwa maana watatujib Paula ana Miaka mingap!
Ha ha ha ..Ni kosa la jinai kwa mwanaume kukataa kusasambua mbususu as long as mwanamke kaileta mwenyewe
Mwanamke aliyeumizwa snaa Ni kichomi Sana kwenye mahusiano, kwa maana Yuko very defensive kutokana na past yake.Wengi wao wanakuwa waliolewa huko vyuoni halafu mabaharia wakawatema. Yaani ukimpata aliyeumizwa sawasawa inabidi wewe ndo uwe mume na therapist hapo hapo vinginevyo mambo hayataenda.
Wengi wanapoteza muda sna mashuleni na kujenga carieer zao, hasa hasa kabila la Mtoa mada.Sie tunampanukweli wa mambo. Sasa wee mwanamke mpaka 30 hajaolewa alikuwa anafanya nini?
Mi ninachojua tu Kajala limekaa vizuri kupelekea moto, acha tu dogo ajimilikishe, hata kama ni kwa mda lakini atafaidi. Limekaa vizuri kulipiga mittti yani.Paula Yuko kwenye 18,
Nnachojua kajala mimba ya Paula kabeba akiwa sekondari, na ndicho kilichosababisha akakatisha masomo yake.
Haiingii akilini hata sekondari hajamaliza, eti awe na miaka 23. Wengi sekondari wanakua below 18.
Uyo kajala Kama kazidi Sana atakua kwenye 33 kazidi Sana labda 36.
Ila 41 hapana, nakataa
Sasa wewe unachaje vitu young unachukuwa vitu vinaanza kujichokea?Ha ha ha ..
Sasa Kama mbususu unapiga fresh Tatizo nn usioe chief[emoji4]
Kujenga career?!! That would make sense kama humo ndani ya nyumba kunatokea contribution ya maana. Humo kwa munyumba billz zote nalipa mie mume sasa hiyo career ya mwanamke inafaida gani kwangu.Wengi wanapoteza muda sna mashuleni na kujenga carieer zao, hasa hasa kabila la Mtoa mada.