Wale mliooa wake zenu wakiwa na zaidi ya miaka 30 na wadada mlioolewa mkiwa na zaidi ya miaka 30 pia, karibuni kwa maoni na uzoefu wenu

Wale mliooa wake zenu wakiwa na zaidi ya miaka 30 na wadada mlioolewa mkiwa na zaidi ya miaka 30 pia, karibuni kwa maoni na uzoefu wenu

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Aisee...hutaki mbususu mlepweto kabisa.
Ila wadada wanakuwa na maringo bwana wakiwa bado wamoto ila wakishafika 28 hamna muelekeo ndio wanaanza kutia akili.
Sasa jamani mwanamke over 30 unaoa ili iwaje? Huyo apambanenna hali yake tuu
Over 30 akikutunuku mbususu unapiga au hupigi?
 
Mzeya naona unawapigia debe kiushikaji wenye sura pesono [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dah hsemalo kweli mwanamke mpaka akagike 30 anajua design mbali mbali za ceiling board.
Wee jamaa bhana
Anajua design zote za paa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ngumu sana kukutana na 30+ akawa hajaumizwa. Ila nakubaliana kuwa 30+, hasa 30-34 hapo wanafaa sana kuingia ndoani.
Wengi wao wanakuwa waliolewa huko vyuoni halafu mabaharia wakawatema. Yaani ukimpata aliyeumizwa sawasawa inabidi wewe ndo uwe mume na therapist hapo hapo vinginevyo mambo hayataenda.
 
Me nadhan kilichokuchelewesha mpaka kufka hapo ni kutafuta pesa so inabid unitoe wasi wasi isiwe ulikua busy na mabo mengne tu, Umri umeenda,Uzur umefifia,pesa huna daaaah! Ni zaid ya mzgo huu.
Ha ha ha...eti uzur umefifia[emoji16]
 
Pia kukazia hapo thamani ya mwanaume huongezeka kadri anavyozidi kuwa na umri mkubwa. Asilimia kubwa wanaume wengi ukifika kuanzia miaka 30 unaanza kuwa financially stable na hapa ndipo unapoanza kuwa ulimbo.

Mwanaume anayejiweza kimfuko machoni kwa wanawake ni sawa sawa na manzi mkali mwenye miaka 22 (8 to 10 on beauty scale) machoni pa wanaume. Silaha ya mwanaume ni mfuko wake na sio umri wake ila kwa mwanamke ni kinyume chake.
Sahii kabisa[emoji106]
 
Thamani ya mwanaume ni pesa, thamani ya mwanamke ni umri wake. Tunza hii kichwani kwako.

Ndio maana swali la kwanza ukienda kujitambulisha ukweni watataka kujua unafanya shughuli gani kutengeneza kipato na sio umri wako.

Ila mwanamke akipelekwa ukweni watataka kujua historia yake ikoje na umri wake pia, unajua kwa nini wanauliza haya?

Endapo kama akiwa na umri mkubwa sana kuanzia miaka 30 risk ya compications ya kupata mtoto na yeye mwenyewe inakuwa kubwa especially ikiwa ndio mara yake ya kwanza kuzaa.

Kuna utofauti mkubwa sana wa mwanamke aliyezaa akiwa na miaka 24 halafu akaja kuzaa tena akiwa na miaka 39 na yule anayeanza kuzaa mara kwa mara ya kwanza akiwa na miaka 30.
Point[emoji106]
 
Age is just a number...

Na kwa hali ya sasa the best wives ni wale ambao wako 30+ hasa ukipata ambaye hajaumizwa na kuchezewa sana na mabaharia.
Unamtoa wapi na ulimwengu huu mabinti wanatolewa Bikra since wake primary, sekondary wanabeba mibaba.
 
Ohoooo Ole wao wabishao kwa maana watatujib Paula ana Miaka mingap!
Paula Yuko kwenye 18,
Nnachojua kajala mimba ya Paula kabeba akiwa sekondari, na ndicho kilichosababisha akakatisha masomo yake.

Haiingii akilini hata sekondari hajamaliza, eti awe na miaka 23. Wengi sekondari wanakua below 18.

Uyo kajala Kama kazidi Sana atakua kwenye 33 kazidi Sana labda 36.

Ila 41 hapana, nakataa
 
Paula Yuko kwenye 18,
Nnachojua kajala mimba ya Paula kabeba akiwa sekondari, na ndicho kilichosababisha akakatisha masomo yake.

Haiingii akilini hata sekondari hajamaliza, eti awe na miaka 23. Wengi sekondari wanakua below 18.

Uyo kajala Kama kazidi Sana atakua kwenye 33 kazidi Sana labda 36.

Ila 41 hapana, nakataa
Mi ninachojua tu Kajala limekaa vizuri kupelekea moto, acha tu dogo ajimilikishe, hata kama ni kwa mda lakini atafaidi. Limekaa vizuri kulipiga mittti yani.
 
Ha ha ha ..
Sasa Kama mbususu unapiga fresh Tatizo nn usioe chief[emoji4]
Sasa wewe unachaje vitu young unachukuwa vitu vinaanza kujichokea?
Alafu in general tumekubaliana hakuna kuoa
 
Wengi wanapoteza muda sna mashuleni na kujenga carieer zao, hasa hasa kabila la Mtoa mada.
Kujenga career?!! That would make sense kama humo ndani ya nyumba kunatokea contribution ya maana. Humo kwa munyumba billz zote nalipa mie mume sasa hiyo career ya mwanamke inafaida gani kwangu.


Ah wapi mie mwanamke ata awe na phd yake namwambia kabisa wewe ni chombo changu cha starehe period, ur dgrees are of no use to me
 
Back
Top Bottom