Kajala 40 anaweza kufika au inaweza ikawa kati (37-40) kwani nina mwanangu mmoja alisoma nae Jitegemee ,jamaa ana 41.Paula Yuko kwenye 18,
Nnachojua kajala mimba ya Paula kabeba akiwa sekondari, na ndicho kilichosababisha akakatisha masomo yake.
Haiingii akilini hata sekondari hajamaliza, eti awe na miaka 23. Wengi sekondari wanakua below 18.
Uyo kajala Kama kazidi Sana atakua kwenye 33 kazidi Sana labda 36.
Ila 41 hapana, nakataa
Unazani wanapenda kukaa bila kuolewa? Subili siku binti zako watakapokuwa wanafungua nursery nyumbani kwako mpaka 40yrs wanakula ugali wako.Generally wanawake above 30 wasioolewa wasiolewe kabisa kwa maana inaonyesha haoni umuhim wa ndoa maishan mwake hata akiolewa atakua mtu wa kujali yaliyomchelewesha kuolewa
Unatafuta phd huna mchumba ng'ombe kbx
Utazaa lin,utalea watoto lin?
Sio kila anayemfuata binti kwa wakati huo anakuwa muoaji wengine wanakuwa virukanjia tu.Niwie radhi Mdada, Hii ndo siri huwa nawambia Dada zangu kila siku
"Katika umri ambao unavutia sanaaa ukiwa idle ndo muda wa kuolewa na highly probable utampata anaekufit si muda wa kulinga wala kula bata"
Unaweza ukahangaika na magugu wewe unafikisha 40yrs ndiyo unakutana na uliyepangiwa na mwenyezi Mungu, mpaka unajiuliza alikuwa wapi siku zote hiziiii??? MUNGU hawai wala kuchelewa..Mnyakyu mwenzangu,tuliza wenge.Mungu hawai Wala hachelewi....nilipata mtoto nikiwa na 25,nikaolewa nikiwa na 31 nikaachika nikiwa na 33 now Nina 34 nitaolewa tena nikiwa na 40 huyo tutakufa pamoja I mean sitokubali niachwe nikiwa kibibi.Bado mtoto sana wewe cute
Shangaa hata wewe, anaoa hao 18-23, halafu akitizama 25-30 ndiyo wanashine [emoji23][emoji23][emoji23], nilikutana na binti mdogo kabisa sizani hata 20 alikuwa kafika aise mambo aliokuwa akiongea nilishika kichwa nikiwa namzidi parefu lakini nilibaki mdomo wazi, staili zote anazijuaAfu hawa hawa wanaojidai hawaoi wadada above 30 lenyewe utalikuta liko above 30, have been in many failed relationships, Limezalisha dada wawatu limemuacha for petty reasons afu linaruka linataka mali safi
Interesting
Mtoto wake ana miaka 23. Sasa alimzaa akiwa na miaka mingapi?Hii Ni chai,
Kajala 41 hajafikisha bhana[emoji4]
We huzijui elimu za enzi hizo tena kwa Mabongo lala kama huo ukute ndo alikua mkubwa darasani, 18 paulu jmama lile Bro kua seriouz basi unaeza kukasdiria umri japo kwa matendo tu. Utanijb pia kwamba paula alimaliza 4m4 na miaka mingap kama saiv unadai ana 18.?Paula Yuko kwenye 18,
Nnachojua kajala mimba ya Paula kabeba akiwa sekondari, na ndicho kilichosababisha akakatisha masomo yake.
Haiingii akilini hata sekondari hajamaliza, eti awe na miaka 23. Wengi sekondari wanakua below 18.
Uyo kajala Kama kazidi Sana atakua kwenye 33 kazidi Sana labda 36.
Ila 41 hapana, nakataa
Nyie wakuu mnanyong'onyeza watu. Sasa mimi mbona nimependa wa zaidi ya huo umri🙄 . Nakapenda sana.😂😂😂😂😂 Prime time Selection nigga! No eating old pussey
Sikuzote, hawahi Wala hachelewi....ni Ebenezer 🙏Unaweza ukahangaika na magugu wewe unafikisha 40yrs ndiyo unakutana na uliyepangiwa na mwenyezi Mungu, mpaka unajiuliza alikuwa wapi siku zote hiziiii??? MUNGU hawai wala kuchelewa..
Tabia zangu mbaya zilinikosesha mkeKwanini hukumuoa mkuu??
Una 30 na bado hujaolewa? Aise kwisha khabari yako, hapo bado huna mtoto ..utajikuta una miaka 60 bado unashomesha. Ndio maana tunaoa 22,23,21,19 ili apate muda wa kutosha wa kulea watoto.Am in my early 30s mkuu
Acha kumtisha binti wa watu mkuu. Wewe una miaka mingapi na una ndoa au la?Una 30 na bado hujaolewa? Aise kwisha khabari yako, hapo bado huna mtoto ..utajikuta una miaka 60 bado unashomesha. Ndio maana tunaoa 22,23,21,19 ili apate muda wa kutosha wa kulea watoto.
to yeye za siku mingi. Nipo Ilembo, nimekuja kuvuna kahawa. Pande zipi weweMnyakyu mwenzangu,tuliza wenge.Mungu hawai Wala hachelewi....nilipata mtoto nikiwa na 25,nikaolewa nikiwa na 31 nikaachika nikiwa na 33 now Nina 34 nitaolewa tena nikiwa na 40 huyo tutakufa pamoja I mean sitokubali niachwe nikiwa kibibi.Bado mtoto sana wewe cute
Bado huna mke at 35??Ila KE pressure huwa kubwa ikifika 27yrs kuendelea. Bora sie kidogo ,japo bado ni hatari .Watu tupo 35 ooooops!
Siyo kumtisha ..huo ndio uhalisia mzee ..unaoaje mdada waa miaka 30+ uyo baada ya miaka kumi tu keshakuwa mzee ..uyo labda uoe for fun lakini siyo kwa maisha eti Yale ya kuzikanaAcha kumtisha binti wa watu mkuu. Wewe una miaka mingapi na una ndoa au la?
Uyole Mbeya, karibu cute@to yeye za siku mingi. Nipo Ilembo, nimekuja kuvuna kahawa. Pande zipi wewe
Sasa kwa 30+ unampata wapi amabae hajumizwa na kuchezewa na hao watu wa baharini?Age is just a number...
Na kwa hali ya sasa the best wives ni wale ambao wako 30+ hasa ukipata ambaye hajaumizwa na kuchezewa sana na mabaharia.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji2960]Shangaa hata wewe, anaoa hao 18-23, halafu akitizama 25-30 ndiyo wanashine [emoji23][emoji23][emoji23], nilikutana na binti mdogo kabisa sizani hata 20 alikuwa kafika aise mambo aliokuwa akiongea nilishika kichwa nikiwa namzidi parefu lakini nilibaki mdomo wazi, staili zote anazijua