Wale mliooa wake zenu wakiwa na zaidi ya miaka 30 na wadada mlioolewa mkiwa na zaidi ya miaka 30 pia, karibuni kwa maoni na uzoefu wenu

Wale mliooa wake zenu wakiwa na zaidi ya miaka 30 na wadada mlioolewa mkiwa na zaidi ya miaka 30 pia, karibuni kwa maoni na uzoefu wenu

Paula Yuko kwenye 18,
Nnachojua kajala mimba ya Paula kabeba akiwa sekondari, na ndicho kilichosababisha akakatisha masomo yake.

Haiingii akilini hata sekondari hajamaliza, eti awe na miaka 23. Wengi sekondari wanakua below 18.

Uyo kajala Kama kazidi Sana atakua kwenye 33 kazidi Sana labda 36.

Ila 41 hapana, nakataa
Kajala 40 anaweza kufika au inaweza ikawa kati (37-40) kwani nina mwanangu mmoja alisoma nae Jitegemee ,jamaa ana 41.
 
Generally wanawake above 30 wasioolewa wasiolewe kabisa kwa maana inaonyesha haoni umuhim wa ndoa maishan mwake hata akiolewa atakua mtu wa kujali yaliyomchelewesha kuolewa
Unatafuta phd huna mchumba ng'ombe kbx
Utazaa lin,utalea watoto lin?
Unazani wanapenda kukaa bila kuolewa? Subili siku binti zako watakapokuwa wanafungua nursery nyumbani kwako mpaka 40yrs wanakula ugali wako.
 
Niwie radhi Mdada, Hii ndo siri huwa nawambia Dada zangu kila siku
"Katika umri ambao unavutia sanaaa ukiwa idle ndo muda wa kuolewa na highly probable utampata anaekufit si muda wa kulinga wala kula bata"
Sio kila anayemfuata binti kwa wakati huo anakuwa muoaji wengine wanakuwa virukanjia tu.
 
Mnyakyu mwenzangu,tuliza wenge.Mungu hawai Wala hachelewi....nilipata mtoto nikiwa na 25,nikaolewa nikiwa na 31 nikaachika nikiwa na 33 now Nina 34 nitaolewa tena nikiwa na 40 huyo tutakufa pamoja I mean sitokubali niachwe nikiwa kibibi.Bado mtoto sana wewe cute
Unaweza ukahangaika na magugu wewe unafikisha 40yrs ndiyo unakutana na uliyepangiwa na mwenyezi Mungu, mpaka unajiuliza alikuwa wapi siku zote hiziiii??? MUNGU hawai wala kuchelewa..
 
Afu hawa hawa wanaojidai hawaoi wadada above 30 lenyewe utalikuta liko above 30, have been in many failed relationships, Limezalisha dada wawatu limemuacha for petty reasons afu linaruka linataka mali safi

Interesting
Shangaa hata wewe, anaoa hao 18-23, halafu akitizama 25-30 ndiyo wanashine [emoji23][emoji23][emoji23], nilikutana na binti mdogo kabisa sizani hata 20 alikuwa kafika aise mambo aliokuwa akiongea nilishika kichwa nikiwa namzidi parefu lakini nilibaki mdomo wazi, staili zote anazijua
 
Paula Yuko kwenye 18,
Nnachojua kajala mimba ya Paula kabeba akiwa sekondari, na ndicho kilichosababisha akakatisha masomo yake.

Haiingii akilini hata sekondari hajamaliza, eti awe na miaka 23. Wengi sekondari wanakua below 18.

Uyo kajala Kama kazidi Sana atakua kwenye 33 kazidi Sana labda 36.

Ila 41 hapana, nakataa
We huzijui elimu za enzi hizo tena kwa Mabongo lala kama huo ukute ndo alikua mkubwa darasani, 18 paulu jmama lile Bro kua seriouz basi unaeza kukasdiria umri japo kwa matendo tu. Utanijb pia kwamba paula alimaliza 4m4 na miaka mingap kama saiv unadai ana 18.?
 
Unaweza ukahangaika na magugu wewe unafikisha 40yrs ndiyo unakutana na uliyepangiwa na mwenyezi Mungu, mpaka unajiuliza alikuwa wapi siku zote hiziiii??? MUNGU hawai wala kuchelewa..
Sikuzote, hawahi Wala hachelewi....ni Ebenezer 🙏
 
Utamkuta mwanamke uzurriiiiii at 25th. Baadae akishangorolewa at33 ndio anastuka
 
Mnyakyu mwenzangu,tuliza wenge.Mungu hawai Wala hachelewi....nilipata mtoto nikiwa na 25,nikaolewa nikiwa na 31 nikaachika nikiwa na 33 now Nina 34 nitaolewa tena nikiwa na 40 huyo tutakufa pamoja I mean sitokubali niachwe nikiwa kibibi.Bado mtoto sana wewe cute
to yeye za siku mingi. Nipo Ilembo, nimekuja kuvuna kahawa. Pande zipi wewe
 
Acha kumtisha binti wa watu mkuu. Wewe una miaka mingapi na una ndoa au la?
Siyo kumtisha ..huo ndio uhalisia mzee ..unaoaje mdada waa miaka 30+ uyo baada ya miaka kumi tu keshakuwa mzee ..uyo labda uoe for fun lakini siyo kwa maisha eti Yale ya kuzikana
 
Age is just a number...

Na kwa hali ya sasa the best wives ni wale ambao wako 30+ hasa ukipata ambaye hajaumizwa na kuchezewa sana na mabaharia.
Sasa kwa 30+ unampata wapi amabae hajumizwa na kuchezewa na hao watu wa baharini?
Ni ngumu sana.
Sasa kama ni ngumu huo mda wa kuhangaika kumpata unaupata wapi.
 
Shangaa hata wewe, anaoa hao 18-23, halafu akitizama 25-30 ndiyo wanashine [emoji23][emoji23][emoji23], nilikutana na binti mdogo kabisa sizani hata 20 alikuwa kafika aise mambo aliokuwa akiongea nilishika kichwa nikiwa namzidi parefu lakini nilibaki mdomo wazi, staili zote anazijua
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji2960]
 
Back
Top Bottom