Wale mliooa wake zenu wakiwa na zaidi ya miaka 30 na wadada mlioolewa mkiwa na zaidi ya miaka 30 pia, karibuni kwa maoni na uzoefu wenu

Wale mliooa wake zenu wakiwa na zaidi ya miaka 30 na wadada mlioolewa mkiwa na zaidi ya miaka 30 pia, karibuni kwa maoni na uzoefu wenu

Ila wanawake wengi ndoa ndio malengo yao makubwa, sasa akifikisha 30 bila ndoa Anamosa furaha hata awe ana miliki nini. Pia changamoto nyingine kwao population ya wanaume sio kubwa kama yao.
 
Nilitaka kupata confessions kutoka kwa wadau, badala yake napata madongo tu, kweli kila mtu ana uhuru wake😂 ahsanteni wote kwa kuendelea kushauri , ntayafanyia kazi
Naomba nikuitie dada yangu mwenye busara zake Heaven Sent kuna maneno alinambia mpaka Leo yanaishi moyoni mwangu, ain't desperate anymore..!
 
Ni kweli mkuu, ila nadhani kila mtu na plan yake , mfano mimi i wish siku nije kuwa na familia ile ya Baba, mama na watoto. So kwangu bila ndoa maisha yanawezekana ila ikipatikana ndoa yatawezekana zaidi maana ntatimiza malengo niliyojiwekea. Mungu mwenyewe alimuumba Adamu na kumpa msaidizi Eve. So nadhani ni muhimu kupata wasaidizi.
Hilo ni tamanio la Kila mtu lakini si wote wanafanikiwa.
Halafu hivi ni kweli kabisa Kati ya hao ambao wamefikisha umri huo hakuna mwanaume alishawahi kuonesha interest za kuwaoa?
Nadhani pia shida ni vigezo vingi wakat kiukweli huwezi kupata vyote kwa mtu mmoja.
 
Mimi nina maoni tofauti kidogo.

Kwa nini tunaipa ndoa uzito mkubwa ambao haistahili.Kwani maisha bila ndoa hayawezekani?

Unamkuta dada wa watu mzuri tu na tabia yake safi lakini analiwa ovyo na wanaume wasioeleweka na wasiompenda kisa kutafuta ndoa. Tena wengine shida yao ni kuvaa shela tu awakoge kina Mwajuma Nchokonoe kwenye vijiwe vya umbea vya kisasa vya instagram na whatsapp.

Ladies you can make your life beautiful even in absence of marriage.
True
 
Hello wakuu!,

Happy Sunday to everyone, karibuni kwa maoni yenu, je ni kweli ukiwa above 30yrs kuna possibility ya kutokuolewa kwa wadada? Sababu ni nini, kwani suala la ndoa linazingatia umri na si upendo baina yenu mnaotarajia kuwa wanandoa? Mliooa na kuolewa katika umri huo je kuna tofauti yoyote mnayoiona ? Maisha yanaendaje ?ushauri wenu ni upi kwa wengine?.

Kumekua na maneno ya kutishana mitaani na hata baadhi ya threads humu kwamba mdada ukiwa na 30s ndiyo basi tenaa, sometimes hupelekea wadada kuolewa tu na mtu yeyote hata wasiyempenda sababu tu ya kigezo hicho kwamba she's in her 30s na anahofia atakosa ndoa.

Zamani mtaani kwetu nilikua nikisikia wakisema aunt fulani hajaolewa hadi leo, wanamshangaa, naona sasa kibao kimegeuka nimekua huyo aunt pia aah[emoji23].

Karibuni na muwe na jpili njema...
Baby, why wauliza hivyo tena?
 
HiKwani uliambiwa kuwa na miaka 30 kwa mwanamke ni dhambi 🤪🤪
Namtania tu mi mwenyewe nataka nikaepo hapo mwambie basi tuyajenge maana nikimwambia mimi hawezi kuelewa!..😀
 
Back
Top Bottom