Wale mliooa wake zenu wakiwa na zaidi ya miaka 30 na wadada mlioolewa mkiwa na zaidi ya miaka 30 pia, karibuni kwa maoni na uzoefu wenu

Ila wanawake wengi ndoa ndio malengo yao makubwa, sasa akifikisha 30 bila ndoa Anamosa furaha hata awe ana miliki nini. Pia changamoto nyingine kwao population ya wanaume sio kubwa kama yao.
 
Nilitaka kupata confessions kutoka kwa wadau, badala yake napata madongo tu, kweli kila mtu ana uhuru wake😂 ahsanteni wote kwa kuendelea kushauri , ntayafanyia kazi
Naomba nikuitie dada yangu mwenye busara zake Heaven Sent kuna maneno alinambia mpaka Leo yanaishi moyoni mwangu, ain't desperate anymore..!
 
Hilo ni tamanio la Kila mtu lakini si wote wanafanikiwa.
Halafu hivi ni kweli kabisa Kati ya hao ambao wamefikisha umri huo hakuna mwanaume alishawahi kuonesha interest za kuwaoa?
Nadhani pia shida ni vigezo vingi wakat kiukweli huwezi kupata vyote kwa mtu mmoja.
 
True
 
Baby, why wauliza hivyo tena?
 
HiKwani uliambiwa kuwa na miaka 30 kwa mwanamke ni dhambi 🤪🤪
Namtania tu mi mwenyewe nataka nikaepo hapo mwambie basi tuyajenge maana nikimwambia mimi hawezi kuelewa!..😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…