Wale mliooa wake zenu wakiwa na zaidi ya miaka 30 na wadada mlioolewa mkiwa na zaidi ya miaka 30 pia, karibuni kwa maoni na uzoefu wenu

Wale mliooa wake zenu wakiwa na zaidi ya miaka 30 na wadada mlioolewa mkiwa na zaidi ya miaka 30 pia, karibuni kwa maoni na uzoefu wenu

Issue mdada wa hio age most akili za mbuzi. hawajakomaa kiakili japo kimwili wamekomaa. and at that time wewe as a man unahitaji utulivu wa akili 😅😅😅😅.

Haya mambo bhana ni very complicated, just chose someone who is good for ur mental and physical health. hayo mambo ya prime cjui ya nn ni overrated
Wacha kutetea damaged goods 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hii sasa ndio point. Bikra aolewe na bikra.
Breki pumbu nyie tulieni muolewe na kina mzabzab tuu🤣🤣🤣🤣
Mbona mnaeka wanawake wa play ‘Victim’

mi nilimaanisha mdada at 23 apate kijana mwenzie hapo ni both team to score.

sio limutu limepita na kila aina ya mwanamke the. atake astaafu na mali safi imeandikwa wapi

Personally nakaataa
 
Generally wanawake above 30 wasioolewa wasiolewe kabisa kwa maana inaonyesha haoni umuhim wa ndoa maishan mwake hata akiolewa atakua mtu wa kujali yaliyomchelewesha kuolewa
Unatafuta phd huna mchumba ng'ombe kbx
Utazaa lin,utalea watoto lin?
Mkuu hii comment yako imefurahisha sana yani utaki kuelewa unapiga kwenye mshono kabsa?

IMO issues za kupata mwenza sahihi ni kama gambling tu ila ukitulia na kuweza kujua unahitaji mwanamke wa namn gani na aka match vigezo vyako(in all aspects like dini,akili..) na ukiridhika. You're ready to go mkuu(mambo mengine ya mbele ni unpredictable) huwezi kujua mambo yalifichikana.....

NB;
Unpopular opinion tena ni vizuri zaid kijana ukachagua mwenza ambae umemzidi kidogo mambo mengi exposure, akili,financial status,..kwenye age nadhani ni sabb ya complications za uzazi so wa age ndogo wengi wao hawana changamoto hizi.
 
Mbona mnaeka wanawake wa play ‘Victim’

mi nilimaanisha mdada at 23 apate kijana mwenzie hapo ni both team to score.

sio limutu limepita na kila aina ya mwanamke the. atake astaafu na mali safi imeandikwa wapi

Personally nakaataa
Eti both teams to score🤣🤣🤣 ungeweka hiyo mechi ya simba coastal ungekuwa tajiri.

Sasa jamani hao wa miaka hiyo tajwa wenyewe wanakwambia wanataka wanaume wakubwa wa rika lao bado akili ndogo na moat importantly ni kwamba they still struggling with life. Finacially mambo hayajakaa sawa.

Sasa sii bora ulie kwenye range rover kuliko kulia kwenye boxer 🤣🤣🤣🤣
 
😅😅😅 nimeandika nikafuta

tuishi hapo uliposema na umegusia mulemule 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
 
Mnyakyu mwenzangu,tuliza wenge.Mungu hawai Wala hachelewi....nilipata mtoto nikiwa na 25,nikaolewa nikiwa na 31 nikaachika nikiwa na 33 now Nina 34 nitaolewa tena nikiwa na 40 huyo tutakufa pamoja I mean sitokubali niachwe nikiwa kibibi.Bado mtoto sana wewe cute
Madam to yeye kwenye ubora wake....a teacher and a comforter.
 
Mbona namba E zipo cha msingi usiwe mbahili Harmonize na Kajala,Aunt na Kusah,Shilole na Mpiga picha,Snura na kisengeti chake, vijana siku hizi wanatafuta experience hawangalii uzuri, ila inabidi ujifunze mbinu za kulea Mario.
 
Mnyakyu mwenzangu,tuliza wenge.Mungu hawai Wala hachelewi....nilipata mtoto nikiwa na 25,nikaolewa nikiwa na 31 nikaachika nikiwa na 33 now Nina 34 nitaolewa tena nikiwa na 40 huyo tutakufa pamoja I mean sitokubali niachwe nikiwa kibibi.Bado mtoto sana wewe cute
Hesabu ndogo ya darasa la saba
25_31_33_34 tofaut iliyopo 6_3_1_n.
Unahisi inayofuata hapo ni ngapi kama siyo 0 kumaanisha safar yako imeishia hapo.
Pole sana[emoji22]
 
Issue mdada wa hio age most akili za mbuzi. hawajakomaa kiakili japo kimwili wamekomaa. and at that time wewe as a man unahitaji utulivu wa akili 😅😅😅😅.

Haya mambo bhana ni very complicated, just chose someone who is good for ur mental and physical health. hayo mambo ya prime cjui ya nn ni overrated
Hahahaa mimi nawataka kimwili zaidi. BTW, I'm a free agent (freedom, quiet and peace of mind). If I want my balls drained I just call one of the young chics in my rotation anakuja overnight anaenda asubuhi.
 
Afu hawa hawa wanaojidai hawaoi wadada above 30 lenyewe utalikuta liko above 30, have been in many failed relationships, Limezalisha dada wawatu limemuacha for petty reasons afu linaruka linataka mali safi

Interesting
Uongo
 
Mkuu kwa wanaume wasaizi hawaangalii umri wanaangalia Kama unalo na unacare hapa hata uwe na miaka 60 vijana wa hovyo watakuoa tu
vijana wa hovyo.?. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom