GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kwa Wenye Akili Kubwa tulipoona tu ule Mchezo wa awali hapa Dar es Salaam tarehe 2 Novemba, 2022 na Kuona Uchezaji wa Yanga SC, Mbinu za Kocha Nabi na Uchezaji wa Kimkakati na Mipango mingi ya Club Africaine huku tukiwajua Waarabu wanavyokuwa Kwao tulishajua ( tunaendelea ) kuamini kuwa tayari Yanga SC imeshatolewa na itakachokifanya leo huko Jijini Tunis nchini Tunisia ni Kujitutumua tu ( Kufa Kiume ) lakini Kufa ( Kufungwa ) Wanafungwa ( Watafungwa ) tu Kudadadeki.