Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu huu sio mda wa kuita wake za watu pls.Nileeeeeeeeeeeeeeeteni GENTA..!
Rudia tena....Fuuuulllll stop. Wakome kujilinganisha na mnyama eti kisa huwa wanamfunga au kusare
Aibu ndogondogo hizi mtu unaweza ukawa unaziepuka kwa kuhifadhi manenoBahati mbaya wachambuzi uchwara wameendelea kuwadanganya kuwa wana timu bora inayoweza kushinda popote,wanasahau ubora wa timu wao~imeisha hiyo warudi kwenye hali yao ya kawaida na kutafuta visingizio,kule hakuna tigo pesa
Ulivyo Mpuuziiiiiii wiki hii itakuwa yako tuKwa Wenye Akili Kubwa tulipoona tu ule Mchezo wa awali hapa Dar es Salaam tarehe 2 Novemba, 2022 na Kuona Uchezaji wa Yanga SC, Mbinu za Kocha Nabi na Uchezaji wa Kimkakati na Mipango mingi ya Club Africaine huku tukiwajua Waarabu wanavyokuwa Kwao tulishajua ( tunaendelea ) kuamini kuwa tayari Yanga SC imeshatolewa na itakachokifanya leo huko Jijini Tunis nchini Tunisia ni Kujitutumua tu ( Kufa Kiume ) lakini Kufa ( Kufungwa ) Wanafungwa ( Watafungwa ) tu Kudadadeki.
KOLO ni shabiki anayeshabikia timu ya SimbaKwa Wenye Akili Kubwa tulipoona tu ule Mchezo wa awali hapa Dar es Salaam tarehe 2 Novemba, 2022 na Kuona Uchezaji wa Yanga SC, Mbinu za Kocha Nabi na Uchezaji wa Kimkakati na Mipango mingi ya Club Africaine huku tukiwajua Waarabu wanavyokuwa Kwao tulishajua ( tunaendelea ) kuamini kuwa tayari Yanga SC imeshatolewa na itakachokifanya leo huko Jijini Tunis nchini Tunisia ni Kujitutumua tu ( Kufa Kiume ) lakini Kufa ( Kufungwa ) Wanafungwa ( Watafungwa ) tu Kudadadeki.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Moja wapo ya madhara ya kushiba mihogo ndo km hii kuhisi vitu ambavyo haviwezekani[emoji16]
[emoji38][emoji38][emoji38]Kwa Wenye Akili Kubwa tulipoona tu ule Mchezo wa awali hapa Dar es Salaam tarehe 2 Novemba, 2022 na Kuona Uchezaji wa Yanga SC, Mbinu za Kocha Nabi na Uchezaji wa Kimkakati na Mipango mingi ya Club Africaine huku tukiwajua Waarabu wanavyokuwa Kwao tulishajua ( tunaendelea ) kuamini kuwa tayari Yanga SC imeshatolewa na itakachokifanya leo huko Jijini Tunis nchini Tunisia ni Kujitutumua tu ( Kufa Kiume ) lakini Kufa ( Kufungwa ) Wanafungwa ( Watafungwa ) tu Kudadadeki.
Makolo ni Makolo tuFuuuulllll stop. Wakome kujilinganisha na mnyama eti kisa huwa wanamfunga au kusare
Nimeamini maneno yako?Hili swala linakushushia heshima
Yanga sio Simba. Yanga haiwezi kupigwa mkono na Wala kuberiHilo baridi ndilo liliwaponza Simba mara ya kwanza wakapigwa mkono uarabuni.
Hii forum ina majinga mengi sana.Kwa Wenye Akili Kubwa tulipoona tu ule Mchezo wa awali hapa Dar es Salaam tarehe 2 Novemba, 2022 na Kuona Uchezaji wa Yanga SC, Mbinu za Kocha Nabi na Uchezaji wa Kimkakati na Mipango mingi ya Club Africaine huku tukiwajua Waarabu wanavyokuwa Kwao tulishajua ( tunaendelea ) kuamini kuwa tayari Yanga SC imeshatolewa na itakachokifanya leo huko Jijini Tunis nchini Tunisia ni Kujitutumua tu ( Kufa Kiume ) lakini Kufa ( Kufungwa ) Wanafungwa ( Watafungwa ) tu Kudadadeki.
Wakiongozwa zaidi na Mpumbavu Wewe.Hii forum ina majinga mengi sana.
Akili kubwa uwe nayo wewe?Kwa Wenye Akili Kubwa tulipoona tu ule Mchezo wa awali hapa Dar es Salaam tarehe 2 Novemba, 2022 na Kuona Uchezaji wa Yanga SC, Mbinu za Kocha Nabi na Uchezaji wa Kimkakati na Mipango mingi ya Club Africaine huku tukiwajua Waarabu wanavyokuwa Kwao tulishajua ( tunaendelea ) kuamini kuwa tayari Yanga SC imeshatolewa na itakachokifanya leo huko Jijini Tunis nchini Tunisia ni Kujitutumua tu ( Kufa Kiume ) lakini Kufa ( Kufungwa ) Wanafungwa ( Watafungwa ) tu Kudadadeki.