Wale mnaojidanganya na kujipa moyo kuwa Yanga SC leo anashinda huko Tunisia kutaneni hapa mtupe sababu zenu

Wale mnaojidanganya na kujipa moyo kuwa Yanga SC leo anashinda huko Tunisia kutaneni hapa mtupe sababu zenu

Unajua kabisa umeandika uongo, halafu unajiridhisha na kufurahi. Una shida mahali bila shaka.
Nami bado nauliza je, baada ya Yanga SC Kufuzu Makundi ya CAFCC tuendelee kuliita hili ni Kombe la Walioshindwa ( Losers ) au?
 
Kwa Wenye Akili Kubwa tulipoona tu ule Mchezo wa awali hapa Dar es Salaam tarehe 2 Novemba, 2022 na Kuona Uchezaji wa Yanga SC, Mbinu za Kocha Nabi na Uchezaji wa Kimkakati na Mipango mingi ya Club Africaine huku tukiwajua Waarabu wanavyokuwa Kwao tulishajua ( tunaendelea ) kuamini kuwa tayari Yanga SC imeshatolewa na itakachokifanya leo huko Jijini Tunis nchini Tunisia ni Kujitutumua tu ( Kufa Kiume ) lakini Kufa ( Kufungwa ) Wanafungwa ( Watafungwa ) tu Kudadadeki.
unaendeleaje hapo ulipo mkuu GENTAMYCIME ?
 
unaendeleaje hapo ulipo mkuu GENTAMYCIME ?
Siitwi huyu Tapeli aliyeiiga ID yangu hii ili tu Kusafiria Nyota yangu Kali ( Natural Charm ) na ya Kimvuto Kiuwasilishaji GENTAMYCIME uliyemtaja bali naitwa GENTAMYCINE 'Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer' sawa?
 
Hapo mwisho ulitakiwa pia kulitaja lile jina lako halisi la popoma mbobevu.
 
Back
Top Bottom