GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Fuuuulllll stop. Wakome kujilinganisha na mnyama eti kisa huwa wanamfunga au kusare
Hilo baridi ndilo liliwaponza Simba mara ya kwanza wakapigwa mkono uarabuni.
Baridi ilikuwa kisingizio tu wala sio sababu mkuu. Hata Yanga akifungwa leo tano sio sababu ya baridi bali timu imezidiwa uwezo. Kwahiyo Simba alivyofungwa tano na kule Congo ni sababu ya baridi kali?Hilo baridi ndilo liliwaponza Simba mara ya kwanza wakapigwa mkono uarabuni.
Yanga hafiiii. Ona huku kuna mayele kule kuna makambooo, nyuma yao yupo felista mtoto kulia kwake felista yupo aziza double kii. Dakika ya nne tu muarabu chaliKwa Wenye Akili Kubwa tulipoona tu ule Mchezo wa awali hapa Dar es Salaam tarehe 2 Novemba, 2022 na Kuona Uchezaji wa Yanga SC, Mbinu za Kocha Nabi na Uchezaji wa Kimkakati na Mipango mingi ya Club Africaine huku tukiwajua Waarabu wanavyokuwa Kwao tulishajua ( tunaendelea ) kuamini kuwa tayari Yanga SC imeshatolewa na itakachokifanya leo huko Jijini Tunis nchini Tunisia ni Kujitutumua tu ( Kufa Kiume ) lakini Kufa ( Kufungwa ) Wanafungwa ( Watafungwa ) tu Kudadadeki.
Ni kweli anashinda njaaNafahamu Young Africans Leo Anashinda.
We ongelea timu yako ya simba kutoka sare leoKwa Wenye Akili Kubwa tulipoona tu ule Mchezo wa awali hapa Dar es Salaam tarehe 2 Novemba, 2022 na Kuona Uchezaji wa Yanga SC, Mbinu za Kocha Nabi na Uchezaji wa Kimkakati na Mipango mingi ya Club Africaine huku tukiwajua Waarabu wanavyokuwa Kwao tulishajua ( tunaendelea ) kuamini kuwa tayari Yanga SC imeshatolewa na itakachokifanya leo huko Jijini Tunis nchini Tunisia ni Kujitutumua tu ( Kufa Kiume ) lakini Kufa ( Kufungwa ) Wanafungwa ( Watafungwa ) tu Kudadadeki.
Moja wapo ya madhara ya kushiba mihogo ndo km hii kuhisi vitu ambavyo haviwezekani[emoji16]Africaan 1-Yanga 1.
Nimekaa pele[emoji117]