Wale mnaosubiria Matokeo ya leo ya Yanga SC na Geita Gold huku mkijua Kocha wao Msaidizi Fred Minziro ni Yanga SC lia lia poleni sana

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Kocha Fred Minziro huyu huyu ambaye wakati akifundisha Ruvu Shooting na kuna Kipindi alifundisha Mbao FC na kila alipocheza na Yanga SC alikuwa anapanga Kikosi dhaifu na akifungwa anacheka na Kufurahia na kama akiona kuna Mchezaji ana Usimba au anaibania sana Yanga SC hampangi au anamtoa haraka?

Kama kuna Mechi (Mchezo) ambao Yanga SC inaenda Kushinda kwa Karamu ya Magoli mengi ni huu wa leo dhidi ya Geita Gold Saa 10 Kamili Uwanja wa Benjamin Mkapa kwani naamini achilia mbali Kocha wao Msaidizi Fred Kataraiya Majeshi Minziro kuwa ni mwana Yanga SC lia lia ila Matajiri akina GSM na kupitia Umafia wa akina Seif Magari na Bin Kleb wameshamalizana nae kwa Bahasha yake na ya Wachezaji Kitambo sana tu.

Oya Kocha Msaidizi wa Geita Gold Fred Minziro tafadhali baada ya Mechi na Yanga SC ambayo unaenda Kuwaachia wakufunge nyingi tukutane Temeke jirani na Hospitali kwa Yulè Demu wako anayekupelekesha mno na hupindui Kwake kwa jinsi unavyompenda japo Yeye ni Simba SC ili tupige Stori Mbili Tatu huku kama kawaida Bapa zikiwa Mezani kwani najua utakuwa njema Kipesa.
 
Wewe jamaa bwana uwa unajua kujiwai Sana kabla ujaadhirika, kwa yanga hii unajua kabisa geita gold aiwezi kuizuiai isifanikiwe jambo lake iwe mvua iwe jua, sasa unaokoteza visababu uchwala unavibandika apo ili ikigongwa upate pa kuanzia, uyo minziro unaemsema sio kocha mkuu, na apangi kikosi anaepanga ni kocha mkuu ndairagije labda izo lawama uzielekeze kwa ndairagije sio minziro
 
Kocha Fred Minziro huyu huyu ambaye wakati akifundisha Ruvu Shooting na kuna Kipindi alifundisha Mbao FC na kila alipocheza na Yanga SC alikuwa anapanga Kikosi dhaifu na akifungwa anacheka na Kufurahia na kama akiona kuna Mchezaji ana Usimba au anaibania sana Yanga SC hampangi au anamtoa haraka?

Kama kuna Mechi (Mchezo) ambao Yanga SC inaenda Kushinda kwa Karamu ya Magoli mengi ni huu wa leo dhidi ya Geita Gold Saa 10 Kamili Uwanja wa Benjamin Mkapa kwani naamini achilia mbali Kocha wao Msaidizi Fred Kataraiya Majeshi Minziro kuwa ni mwana Yanga SC lia lia ila Matajiri akina GSM na kupitia Umafia wa akina Seif Magari na Bin Kleb wameshamalizana nae kwa Bahasha yake na ya Wachezaji Kitambo sana tu.

Oya Kocha Msaidizi wa Geita Gold Fred Minziro tafadhali baada ya Mechi na Yanga SC ambayo unaenda Kuwaachia wakufunge nyingi tukutane Temeke jirani na Hospitali kwa Yulè Demu wako anayekupelekesha mno na hupindui Kwake kwa jinsi unavyompenda japo Yeye ni Simba SC ili tupige Stori Mbili Tatu huku kama kawaida Bapa zikiwa Mezani kwani najua utakuwa njema Kipesa.
Em tuambie hii Geita ingekuwa na kocha gani wangeweza kuifunga Yanga leo...kwani Gomes wenu aliwahi kuichezea Yanga mwaka gani mpk inapelekea kuchezea kichapo anapokutana na Yanga??
 
Kunywa maji mengi kolo unateseka kutokea wapi?

Hivi matawi yenu mwaka huu yote yamevunjwa mbona mnalia Sana?
 
huwezi kutofautisha rangi popoma kweli.
Yanga hii mambo moto juu ya moto siyo nyie hadi timu pinzani iwe pungufu ndo mpate matokeo, weka akilini hilo popoma.
 
kuna kocha msaidizi ambaye aliwanyima Prison ubingwa kwa ajili ya timu yake na lile lisemaji lao
 
Back
Top Bottom