[emoji23] [emoji23] [emoji23] pacha mi natumia vodaphone kwa hiyo nikiona wanavyoipondea techno nabaki tu sina la kusema. Cha muhimu nnachojua simu unaweza kuwa nayo kwa kuipenda au uchumi unakubana...sasa hii mimi niliyonayo ndo level yangu siwezi kushindana na mtu mwenye simu ya laki saba wakati hata mshahara wangu haufiki hukoPacha na wewe una Iphone S8 ? 🙂😉
Fukc you too tecno nation..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] fvck you...!!
sent from my Samsung A8
Wacha tupambane na hali zetu...[emoji23] [emoji23] [emoji23] pacha mi natumia vodaphone kwa hiyo nikiona wanavyoipondea techno nabaki tu sina la kusema. Cha muhimu nnachojua simu unaweza kuwa nayo kwa kuipenda au uchumi unakubana...sasa hii mimi niliyonayo ndo level yangu siwezi kushindana na mtu mwenye simu ya laki saba wakati hata mshahara wangu haufiki huko
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mmiliki wa tecno y3 kaanza mwenyewe kunitukana na uamini watumiaji wa tecno wengi wakorofi....Baada ya kuiponda simu sasa mmeanza kutukana wamiliki! Mungu anawaona.
sio kama unaipenda ni hali yako imekulazimu[emoji41] Hata wala sijali aisee,Hata wakinisema kiasi gani lakini mie aqkuuuu. Naipenda hivo hivo
Sent from tecno wereva using jamii forum app
Wewe unafikiri Kilimanjaro sio bora kwenye category yake? U can not be serious.Hayo ni matangazo tu kuprimote bidhaa. Kuonekana hapo sio kwamba ndio bora
Mbona hata Mt kilimanjaro walikua wanatangaza kipindi flani kwenye baadhi ya mechi
Let it flow
Unaijua hali yangu??
Unaijua hali yangu??
Sio ujifanye unanijua sana,Swali jiulize je,una uhakika unanijua???
But they both quench our thirsty right??Iphone and Samsung are coke and Pepsi while tecno is Fursana [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kisaaa?Navunja tecno yangu[emoji35] [emoji35]
Uko kama mimi mtoto mzuri mwenzangu huwa hata sishitukagi aisee kisa natumia Tecno.[emoji41] Hata wala sijali aisee,Hata wakinisema kiasi gani lakini mie aqkuuuu. Naipenda hivo hivo
Sent from tecno wereva using jamii forum app
Shida ya nchi masikini uwezo unapimwa kwa vitu vidogo sana....shame!Poor Tanzanian, hali ya mtu ataipimaje kwa aina ya simu? Unakuta mtu matumizi yako ya simu ni kawaida tu whatsapp, facebook, instagram huna heavy tasks unazotaka kufanya kwa simu. Unanunua simu ya milioni ya nini? Hawa vijana hawa waache tu.