Wale Mnaotuponda Watumiaji wa Tecno....

Wale Mnaotuponda Watumiaji wa Tecno....

Pacha na wewe una Iphone S8 ? 🙂😉
[emoji23] [emoji23] [emoji23] pacha mi natumia vodaphone kwa hiyo nikiona wanavyoipondea techno nabaki tu sina la kusema. Cha muhimu nnachojua simu unaweza kuwa nayo kwa kuipenda au uchumi unakubana...sasa hii mimi niliyonayo ndo level yangu siwezi kushindana na mtu mwenye simu ya laki saba wakati hata mshahara wangu haufiki huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] fvck you...!!

sent from my Samsung A8
Fukc you too tecno nation..

Mzee mimi tecno sipendi najifariji na ka GT kangu ka Samsung ka laki na elfu tano. Sizitaki mbichi hizi.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] pacha mi natumia vodaphone kwa hiyo nikiona wanavyoipondea techno nabaki tu sina la kusema. Cha muhimu nnachojua simu unaweza kuwa nayo kwa kuipenda au uchumi unakubana...sasa hii mimi niliyonayo ndo level yangu siwezi kushindana na mtu mwenye simu ya laki saba wakati hata mshahara wangu haufiki huko

Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha tupambane na hali zetu...
 
Fukc you too tecno nation..

Mzee mimi tecno sipendi najifariji na ka GT kangu ka Samsung ka laki na elfu tano. Sizitaki mbichi hizi.
Baada ya kuiponda simu sasa mmeanza kutukana wamiliki! Mungu anawaona.
 
Hayo ni matangazo tu kuprimote bidhaa. Kuonekana hapo sio kwamba ndio bora
Mbona hata Mt kilimanjaro walikua wanatangaza kipindi flani kwenye baadhi ya mechi

Let it flow
 
Huyo mmiliki wa tecno y3 kaanza mwenyewe kunitukana na uamini watumiaji wa tecno wengi wakorofi....
Aisee...hadi una taarifa watumia tecno wengi wakorofi! Sikuwezi.
 
Hayo ni matangazo tu kuprimote bidhaa. Kuonekana hapo sio kwamba ndio bora
Mbona hata Mt kilimanjaro walikua wanatangaza kipindi flani kwenye baadhi ya mechi

Let it flow
Wewe unafikiri Kilimanjaro sio bora kwenye category yake? U can not be serious.
 
Unaijua hali yangu??
Sio ujifanye unanijua sana,Swali jiulize je,una uhakika unanijua???

Poor Tanzanian, hali ya mtu ataipimaje kwa aina ya simu? Unakuta mtu matumizi yako ya simu ni kawaida tu whatsapp, facebook, instagram huna heavy tasks unazotaka kufanya kwa simu. Unanunua simu ya milioni ya nini? Hawa vijana hawa waache tu.
 
Shida ya nchi masikini uwezo unapimwa kwa vitu vidogo sana....shame!
 
Back
Top Bottom