Wale mnaoulizaga inakulaje wese, sasa mchina kashamaliza kazi kwa gari zisizoenda sheli!

Wale mnaoulizaga inakulaje wese, sasa mchina kashamaliza kazi kwa gari zisizoenda sheli!

Hahahahahahaha haya bwana,

Lakini ujue uchumi wa kati unakuja
Ipo siku tutakuwa na kiwanda,
kama musk hakufungua tutamuomba kupitia ubalozi wetu huko
Hahah shida hao middle income earners wako wapi mkuu?Elon ye aendelee tu na ma-project yake huko duniani.
 
View attachment 931288


View attachment 931289

Wazee hizo gari zinaitwa EV Cars yani Electronic Vehicles, ziko compact size ya kubeba watu wanne size ile ile ya "BEBIWOKA" tulizozoea kupishana nazo mtaani! Habari njema ni kwamba hizi gari zinatumia charger ya mithili ya simu kwahivyo utaweza kuzichaji kila ulalapo usiku! Single charge inaweza kutembea kati ya 100-150km bila usumbufu na ikiwa idle inakuwaga na solar panel inayolichaji betri lake! ikumbukwe hii gari inatumia umeme pekee so hamna trip za kwenda sheli we ni plug tu na umeme! betri huchaji hadi kujaa ni masaa 8-10! Bei ni kitonga kama mnavyoona na unakuwa umenunua gar brand new 0kms kwa around million 9 hapo, ikumbukwe tu kuwa humo ndani ni full mufindi!!!!

wadau mnaonaje je hizi gari ziko makini
Hii sio baby walker bali ni toy au mdoli
 
Hivo vigari siviamini kabisa. Naona kama unaendesha toi hivi, gari haitoi mlio wowote wala hamna kupanga wala kupangua gia.
Wakongwe tutabaki na gari zetu hizi akina Toyota Land Cruiser, Land Rover Defender, Nissan Patrol nk
 
Kwan hawawez kukawekea alternator kawe kanajichaji kenyewe masaa 8 mengi sana kusubiria betri ijae.
 
Hivi vigari kwani VETA wanashindwa kuvitengeneza?
Tununue kimoja halafu tukifanyie udadisi, huwenda tukaweza kutengeneza gari kutokana na mahitaji yetu.
Tatizo mwonekano, hatutaki vigari vya kuchomelea sisi
 
Umeme ni wa elf 10 unatosha kujaza battery ya 24kwh ambayo utatumia si chini ya siku 4 kwa mizunguko yako ya town radius ya km 25 kwa siku!, kama unatembea chini ya hapo ni siku zinaongezeka zaidi maana single charge inakupa kati ya kms 100-150 za misele! Kuhusu jamaa wa Port si unajua wanachotufanyia, hako kadude unaeza lipia million 10 uchina ukakutana na million 10 bandarini! Ni hatari sana,
Hapo hujazingatia foleni za barabarani.
 
Tatizo ni hapo betri kujaa masaa 8 hadi 10.naona la mafuta ni bora zaid
Kuna fast charging kiongozi! Ukifanya mradi wa ku install fast charging points mjini ndani ya miaka 15 ijayo utakuwa zimba wa mfano, tunapoelekea ni zama za umeme katika kila tunachotumia! Gari zote za sasa ni HYBRID ama EV Vehicles! Mafuta taratibu yanaanza kuachwa! Nina hakika mpaka kufikia 2030 Be forward ya kipindi hicho itakuwa imejaa HYBRIDs na wakati huo EV zenye ufanisi wa hali ya juu itakuwa ziko on peak!
 
Kwa ujuaji wa kukosoa vitu vya kisenge tu hua uko vzr kwny kila thread ya magari unayochangia,lkn hunaga mchango wa maana zaidi ya kujifanya mjuaji mavi tu.
sa nichangie nini ....comment natoaga pale naona sio sahihi ila wabongo bhna mbona Mwenye thread katulia cz huenda ndo alikuwa anaelewa hivo but nw kajua au huenda ni typing error ila ww unakuja punguzia stress huku ....lemme ask you mtu anaejifanya mjuaji yukoje kusema anachojua na kiwe ukweli kwako ni mjuaji ....?? rinda naona limefumuka
 
Hzo kwa umeme wa bongo hazifai,yaan umeme Leo umekata siku nzima sasa hapo c unaipaki jmn....
 
Teh teh huko kwny "land of opportunities" endeleeni kuenjoy tu mkuu,sisi huku bado kuna mtu akienda kupanda ndege anasindikizwa na baba,mama+majirani aisee.

Achana hata na tesla mkuu, bongo huku eti habari ya mjini ni toyota crown za 2000's huko teh teh.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kuna fast charging kiongozi! Ukifanya mradi wa ku install fast charging points mjini ndani ya miaka 15 ijayo utakuwa zimba wa mfano, tunapoelekea ni zama za umeme katika kila tunachotumia! Gari zote za sasa ni HYBRID ama EV Vehicles! Mafuta taratibu yanaanza kuachwa! Nina hakika mpaka kufikia 2030 Be forward ya kipindi hicho itakuwa imejaa HYBRIDs na wakati huo EV zenye ufanisi wa hali ya juu itakuwa ziko on peak!
Kuna moja nimeona ya Sweden wameanzisha electrified road yaani unapita kwenye barabara huku una charge na bill inakuja kwako kila unapotumia huduma hiyo.
Jamaa wako mbali
20181118_201928.jpeg
20181118_201909.jpeg
 
Back
Top Bottom