Mr. Django
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 1,830
- 2,428
Mimi wasiwasi wangu ni namna litakavyokuwa linakula charge! Unaweza shangaa kwa hayo masaa 10 kwa siku likala unit 50! Ambazo ni ghali kuliko hata anayeenda petrol station! Labda kama China umeme ni bei cheap, ila bongo linaweza kuwa mzigo.