Wale mnaoulizaga inakulaje wese, sasa mchina kashamaliza kazi kwa gari zisizoenda sheli!

Wale mnaoulizaga inakulaje wese, sasa mchina kashamaliza kazi kwa gari zisizoenda sheli!

View attachment 931288

View attachment 931289

Wazee hizo gari zinaitwa EV Cars yani Electronic Vehicles, ziko compact size ya kubeba watu wanne size ile ile ya "BEBIWOKA" tulizozoea kupishana nazo mtaani! Habari njema ni kwamba hizi gari zinatumia charger ya mithili ya simu kwahivyo utaweza kuzichaji kila ulalapo usiku! Single charge inaweza kutembea kati ya 100-150km bila usumbufu na ikiwa idle inakuwaga na solar panel inayolichaji betri lake! ikumbukwe hii gari inatumia umeme pekee so hamna trip za kwenda sheli we ni plug tu na umeme! betri huchaji hadi kujaa ni masaa 8-10! Bei ni kitonga kama mnavyoona na unakuwa umenunua gar brand new 0kms kwa around million 9 hapo, ikumbukwe tu kuwa humo ndani ni full mufindi!!!!

wadau mnaonaje je hizi gari ziko makini
wale jamaa pale port hujaweka hesabu zao, tujulishe ukiziweka hapo tuone kianzio ni ngapi, Kwenye umeme hujasema ni units ngapi mpaka ifike full charge, hapa tutalinganisha Na ist Na vits.
 
Hapo sawa na vipi kuhusu servicability ikizingua unapeleka gereji au kwa mafundi umeme?.
Hapa service nadhani wao watakutumia vifaa vya kubadilisha, ila diagnosis lazima wafanye wataalamu wa automobile electric engineers! Ambao kwa sasa nina uhakika hawapo kabisa
 
Hapa service nadhani wao watakutumia vifaa vya kubadilisha, ila diagnosis lazima wafanye wataalamu wa automobile electric engineers! Ambao kwa sasa nina uhakika hawapo kabisa
ni Gari ya kawaida isipokuwa Engine Ndio tofauti Kabisa Na za Mafuta,Hii ni slow speed motor, zina limitation ya speed to 70kph, battery ni ya CATL ( world class natter manufacturer ).motor Ndio inaweza kuwa kimeo !
 
wale jamaa pale port hujaweka hesabu zao, tujulishe ukiziweka hapo tuone kianzio ni ngapi, Kwenye umeme hujasema ni units ngapi mpaka ifike full charge, hapa tutalinganisha Na ist Na vits.
Umeme ni wa elf 10 unatosha kujaza battery ya 24kwh ambayo utatumia si chini ya siku 4 kwa mizunguko yako ya town radius ya km 25 kwa siku!, kama unatembea chini ya hapo ni siku zinaongezeka zaidi maana single charge inakupa kati ya kms 100-150 za misele! Kuhusu jamaa wa Port si unajua wanachotufanyia, hako kadude unaeza lipia million 10 uchina ukakutana na million 10 bandarini! Ni hatari sana,
 
kama nna safari ya Njombe to Dar 720 km hakani fai hata iringa sitafika kataisha charge
Sio tu kataisha Charge, utatumia mwezi mzima kufika ha ha ha ha! Chenye ubora wa juu speed haizidi 100km\h! Vingi vinatembea 50km\h!
 
Sio tu kataisha Charge, utatumia mwezi mzima kufika ha ha ha ha! Chenye ubora wa juu speed haizidi 100km\h! Vingi vinatembea 50km\h!
eti mchajo mmoja kana tembea km 150 kameisha charge halafu mpaka kajae masaa kuanzia nane ni ujinga
 
eti mchajo mmoja kana tembea km 150 kameisha charge halafu mpaka kajae masaa kuanzia nane ni ujinga
Vya fast charging ni 1 hour inakuwa imejaa mkuu! So una uhuru wa kuchukua fast charging pia
 
View attachment 931288

View attachment 931289

Wazee hizo gari zinaitwa EV Cars yani Electronic Vehicles, ziko compact size ya kubeba watu wanne size ile ile ya "BEBIWOKA" tulizozoea kupishana nazo mtaani! Habari njema ni kwamba hizi gari zinatumia charger ya mithili ya simu kwahivyo utaweza kuzichaji kila ulalapo usiku! Single charge inaweza kutembea kati ya 100-150km bila usumbufu na ikiwa idle inakuwaga na solar panel inayolichaji betri lake! ikumbukwe hii gari inatumia umeme pekee so hamna trip za kwenda sheli we ni plug tu na umeme! betri huchaji hadi kujaa ni masaa 8-10! Bei ni kitonga kama mnavyoona na unakuwa umenunua gar brand new 0kms kwa around million 9 hapo, ikumbukwe tu kuwa humo ndani ni full mufindi!!!!

wadau mnaonaje je hizi gari ziko makini
Haka kadude nimekaelewa aise. Ni fursa kwa biashara ya Uber pia ila service sasa ndio mtihani kwa nchi zetu za Africa.
 
Haka kadude nimekaelewa aise. Ni fursa kwa biashara ya Uber pia ila service sasa ndio mtihani kwa nchi zetu za Africa.
Wachina wanatoa free support ya accessories zote zitazosumbua ndani ya miaka mitatu ya mwanzo!
 
Kwenye nchi umeme wa bei rahisi utatumia kwa urahisi kwenye nchi zenye umeme ghali kama nongo pasua kichwa.
Inakaa kwenye chaji muda gani maana siku umsme umekatika uwe na mbadala!
 
Unakachajia kwenye umee wetu wa luku kama unachaji simu au kuna station maalum ya kuchajia?
 
Kwako OPEC unalipi lakusema.
Opec:Hiyo mikakati ya massive production ni batili kutokana na mkataba wetu kwako mwalimu kashasha
 
niliwaifanya reserach kwanini izi EV hazivumi sana ukizingatia ni vinara katika issue za 'green power' ( urafiki na mazingira )

issue kubwa inayokinza uzalishaji wake kushika kasi ni Output ( kiwango kinachotoka ) ni tofauti sana na kinachoingia achilia mbali kwenye utunzaji wa mazingira

hapa namaanisha "Maximum Speed ( Output Horsepower ) " , bado ni ndogo mno ukilinganisha na 'umeme' ulioutumia kuchaji ( hapa nakompea na gari za engine za mafuta ) Source: Google

Issue ya pili ni battery, angalia mfano mzuri mifumo ya solar (au simu) ya kichina , baada mwaka unakuta battery limevimba na halina nguvu tena ( hata uchaji vipi baada ya mda battery 0% ) hapa namaanisha unachaji sanaa then gari huenda km chache
 
Back
Top Bottom