Wale mnaoulizaga inakulaje wese, sasa mchina kashamaliza kazi kwa gari zisizoenda sheli!

Hahahahahahaha haya bwana,

Lakini ujue uchumi wa kati unakuja
Ipo siku tutakuwa na kiwanda,
kama musk hakufungua tutamuomba kupitia ubalozi wetu huko
Hahah shida hao middle income earners wako wapi mkuu?Elon ye aendelee tu na ma-project yake huko duniani.
 
Hii sio baby walker bali ni toy au mdoli
 
Hivo vigari siviamini kabisa. Naona kama unaendesha toi hivi, gari haitoi mlio wowote wala hamna kupanga wala kupangua gia.
Wakongwe tutabaki na gari zetu hizi akina Toyota Land Cruiser, Land Rover Defender, Nissan Patrol nk
 
Raha ya gari kucheza na eksileta, klachi na breki uku ukisikilizia sauti ya injini ikilalamika.
 
Kwan hawawez kukawekea alternator kawe kanajichaji kenyewe masaa 8 mengi sana kusubiria betri ijae.
 
Hivi vigari kwani VETA wanashindwa kuvitengeneza?
Tununue kimoja halafu tukifanyie udadisi, huwenda tukaweza kutengeneza gari kutokana na mahitaji yetu.
Tatizo mwonekano, hatutaki vigari vya kuchomelea sisi
 
Hapo hujazingatia foleni za barabarani.
 
Tatizo ni hapo betri kujaa masaa 8 hadi 10.naona la mafuta ni bora zaid
Kuna fast charging kiongozi! Ukifanya mradi wa ku install fast charging points mjini ndani ya miaka 15 ijayo utakuwa zimba wa mfano, tunapoelekea ni zama za umeme katika kila tunachotumia! Gari zote za sasa ni HYBRID ama EV Vehicles! Mafuta taratibu yanaanza kuachwa! Nina hakika mpaka kufikia 2030 Be forward ya kipindi hicho itakuwa imejaa HYBRIDs na wakati huo EV zenye ufanisi wa hali ya juu itakuwa ziko on peak!
 
Kwa ujuaji wa kukosoa vitu vya kisenge tu hua uko vzr kwny kila thread ya magari unayochangia,lkn hunaga mchango wa maana zaidi ya kujifanya mjuaji mavi tu.
sa nichangie nini ....comment natoaga pale naona sio sahihi ila wabongo bhna mbona Mwenye thread katulia cz huenda ndo alikuwa anaelewa hivo but nw kajua au huenda ni typing error ila ww unakuja punguzia stress huku ....lemme ask you mtu anaejifanya mjuaji yukoje kusema anachojua na kiwe ukweli kwako ni mjuaji ....?? rinda naona limefumuka
 
Hzo kwa umeme wa bongo hazifai,yaan umeme Leo umekata siku nzima sasa hapo c unaipaki jmn....
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kuna moja nimeona ya Sweden wameanzisha electrified road yaani unapita kwenye barabara huku una charge na bill inakuja kwako kila unapotumia huduma hiyo.
Jamaa wako mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…