Mr. Django
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 1,830
- 2,428
yeah mkuu, yani kwa wenzetu movement towards technology ni so rapid fast! Wakati si tunagombea korosho ziuzwe elfu tatu ili mkulima asinyonywe, ha ha ha ha mambo ya kustaajabisha sana!Kuna moja nimeona ya Sweden wameanzisha electrified road yaani unapita kwenye barabara huku una charge na bill inakuja kwako kila unapotumia huduma hiyo.
Jamaa wako mbali View attachment 938840View attachment 938842
Stieglers Gorge ipo on progress ikikamilika umeme utakuwa cheap sana, mfano wenzetu US umeme unit moja wananunua kwa cents! Tutafika tu lakini!Mimi wasiwasi wangu ni namna litakavyokuwa linakula charge! Unaweza shangaa kwa hayo masaa 10 kwa siku likala unit 50! Ambazo ni ghali kuliko hata anayeenda petrol station! Labda kama China umeme ni bei cheap, ila bongo linaweza kuwa mzigo.
Ipo Stiggler.Zitaongeza matumizi ya LUKU tu tabu iko pale pale
Inaweza kujiendesha!TESLA bei juu juu sana.
Ipo Straggler's gorge itkuwa imeanzaga kaziHzo kwa umeme wa bongo hazifai,yaan umeme Leo umekata siku nzima sasa hapo c unaipaki jmn....
Inasikitisha sana kwa hali ya huko kwetu mkuu.yeah mkuu, yani kwa wenzetu movement towards technology ni so rapid fast! Wakati si tunagombea korosho ziuzwe elfu tatu ili mkulima asinyonywe, ha ha ha ha mambo ya kustaajabisha sana!
Mabadiliko yatakuja pale ambapo mtaweka right people on the administrative positions, kuna haja ya kuweka watu wenye fikra tofauti towards solving people problems na wenye akili za kupokea vitu vipya sio kuwa na ujuaji usio na maana!Inasikitisha sana kwa hali ya huko kwetu mkuu.
Yaani sijui mabadiliko yatakuja lini
Lakini ipo siku na kwa sasa acha tufate nyuma tu
Mkuu sio ujuaji tu ni ujinga nafikiriMabadiliko yatakuja pale ambapo mtaweka right people on the administrative positions, kuna haja ya kuweka watu wenye fikra tofauti towards solving people problems na wenye akili za kupokea vitu vipya sio kuwa na ujuaji usio na maana!