BIG THINKER
JF-Expert Member
- May 20, 2018
- 680
- 1,436
Niliwah kutoroka nikaenda kwa rafiki yangu kwao maisha ya kawaida wakanipa chakula niliharisha sitasahau Hadi nikapelekwa hospital usiku wazaz wa rafiki yangu wakakamatwa na urafiki wetu ukaishia hapo, nisamehe bwana Simon popote ulipo.
Ngoja nikae kimya coz JF ukitaka uonekane kua ni mkweli basi jitangaze kua unapitia magumu na upo kwenye dhiki,kila mtu atakuonea huruma na kukuombea dua kisha kukutia moyo,sijui pambana utatoka tu...😀
Huenda hua inawapa faraja kiasi fulani.[emoji23][emoji23][emoji23] wanapenda kuona watu wanateseka kama watesekavyo wao
Hata wewe unaweza kua wa kishua,ni uamuzi wako tu,Nasoma comment za wa kishua
Huenda hua inawapa faraja kiasi fulani.