Maisha ya kishua ni yapi hapa bongo ya kuendesha hizi mitumba ya magari ya mjapani, au kuweka ligate la chuma la kusukuma, kuishi kwenye hizi nyumba zisio kua na Ac ndani, chakula chenyewe ndo nafaka hizi sembe Michele makande.....kusema ukweli sioni maisha ya ajabu hapa Tz, hapa TZ, Africa is the same na Africans are the same, isipo kua tunapishana tu mitizamo na vipao mbele, wote ni masikini tu but with varying degree of poverty, hamna mtu mwenye maisha ya kishua isipo kua ufisadi na showoff za kijinga.Haya Sasa
Kwa upande wangu mm nimebahatika kuzaliwa na kukulia kwenye familia ya KISHUA haswaa, nyumba,magari na chakula Cha Kila aina tena Kila siku.
Changamoto ya kuishi kwnye familia ya KISHUA ni kukosa muda Wa kuwa marafiki, pia ukitoka nje ya geti Kila mtu anakushangaa, marafiki wengi wa Kila aina wengine wezi wanakuibia vitu kama mipira nk, wazazi kukuona mtoto hata kama umekuwa, nimeogeshwa na Mama na wadada wa kazi Hadi namalizia la Saba.
View attachment 2503537